Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Me nayakubali Dew drop,dasani&kilimanjaro....kuna baadhi ya sehemu maji ya chupa mengine hayafiki zaidi ya Jambo tu yani siyaelewagi inabidi ninywe tu..
 
Kheri Umoja au Sequa au Jambo yaani KILIMANJARO ni BOOM kabisa hebu *** linganisha kiwango cha madini ya CHUMVI yalivyo na kiwango cha juu kuliko maji yoote hayo SODIUM ni 28 maji gani haya yamejazwa chumvi hivi , hebu linganisha kila ununuapo maji hayo
Kilimanjaro, kwa kuwa ni bora na ndiyo yanayopatikana nilipo kwa bei poa kabisa. 1.5lt @ 1k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeniwahi kuja Yapo maji humu nchini ni halisi kabisa hayachanganywi na cho chote yanauzwa ktk vifungashio mwenye uelewa utufumbue macho.nasikia yanatoka huko kusini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maji ya kilimanjaro utakuwa umewakamata wachagga wengi sana humu.si unajuwa tena wenzetu kwa kusifiana vya kwao hawajambo! Hata kama co mazuri watayasifia tu kwa sababu mwenye company ni mchagga mwenzao/Mengi.
Mimi nimekunywa maji almost brand zote,sina interest na kampuni yoyote,but ngoja nikwambie kitu,ebu jaribu kunywa maji ya SEQUA kisha uje useme ni kitu gani umekinoti!Nilikunywa haya maji Dodoma na cant do without!Shida ni kwamba hayapatikani Morogoro,Iringa wala Mbeya...but nna uhakika haya ndiyo maji yanayoongoza kwa utamu!!

Ni made in wapi mkuu?
 
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.

Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....
Nakunywa maji ya Kabanga ya apa Bukoba Kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunaokunywa maji ya Kandoro tu comment wapi....
IMG_20160531_131210%2Bcopy.jpg
 
Back
Top Bottom