Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.

Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....[/QUOTEuhsi]
 
Mimi kwangu kwa huku niliko haya Njombe Chemchemi ndo bora kabisa


Kabla ya haya nilikuwa natumia Kilimanjaro
 
Sisi uku Ikungulyabashashi tunakunywa ya kwenye mto na Ng'ombe zetu na mbuzi zetu umo umo mix mikojo ya iyo mifugo, hatuyajui hayo ya chupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana lakini unaweza kuweka kwenye maji ya chupa huko huko hakuna shida ni rahisi tu kujenga kiwanda chake.
 
Maji nambari moja kwa Ubora ni Kilimanjaro na maji nambari mbili kwa tank ya Ubora ni NDANDA SPRING. hebu yajaribu uone utamu wa Maji ndanda
NDANDA SPRING yanatengenezwa wapi hayo.....ok nimekupa kuhusu Kilimanjaro...
 
Masafi.Sayona na Afya" nayapenda "... kwa sababu bei yake inazingatia kipato cha wananchi wa kima cha chini ... nakuweza kutoa fursa ya kutumiwa na watu wote ...

Pia naya penda maji ya afya na sayona "yale ya kwenye chupa ya litre1 kwakuwa na vutiwa na muonekano (muondo) wa chupa yake .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana SAYONA na MASAFI na AFYA....Ni kweli kabisa kupato cha wananchi kuangalian katika biashara ni muhimu sana
 
Kwa maji ya kilimanjaro utakuwa umewakamata wachagga wengi sana humu.si unajuwa tena wenzetu kwa kusifiana vya kwao hawajambo! Hata kama co mazuri watayasifia tu kwa sababu mwenye company ni mchagga mwenzao/Mengi.
 
Back
Top Bottom