Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.

Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....

watumiaji huangalia vifuatavyo,
Upatikanaji wa maji
Bei ya maji
Ladha ya Maji
Muonekano wa Chupa
Bei ya Maji

Kwa sasa karibu kila mkoa unakiwanda cha Maji, ila kila mkoa una favourite

Mfn; Tabora wanapenda Dew Drop, Acqua rock, Jambo na Udzungwa.

Shinyanga; Jambo na Kilimanjaro
Mwanza; Sequa, Kilimanjaro, Jambo na Dasani
Dar es salaam; Afya, Masafi, Kilimanjaro.

Kwa hiyo chief kwa sasa soko ni gumu, ushindani ni mwingi.... Uhai ndio naona kama anapotea
kama ulikuwa unafanya research majibu kidogo ndio hayo,
 
Udzungwa na Luwenzori mwisho wa maneno.
Ila kwa mjini, huwa naangalia yenye PH nzuri angalau isicheze mbali na 7 kamili. Na Yenye Fr ndogo.
 
Japo hii ni promo isiyo na malipo. Ila kiuhalisia Udzungwa na Maji Mkwawa yana radha murua kuliko mengine yote.
 
Back
Top Bottom