Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Kilimanjaro, kwa kuwa ni bora na ndiyo yanayopatikana nilipo kwa bei poa kabisa. 1.5lt @ 1k
Ubora wake ni upi?nimeshakunywa maji kila brand tanzania maji bora kabisa ni:-
RUNGWE
DEW Drop
mengine hakuna kitu ni visima vyenye chumvi nyingi
 
Kilimanjaro
Kwasababu nimeyazoea toka zamani
Dew drop
Situmii tofauti na hapo
 
Ubora wake ni upi?nimeshakunywa maji kila brand tanzania maji bora kabisa ni:-
RUNGWE
DEW POINT
mengine hakuna kitu
Kwangu ni bora, kila mtu atumie kile anachoona bora kwake, wala tusilumbane mkuu.
 
Maji ya Amani from Muheza Tanga Tanzania..
 
Niliyapenda maji ya ndanda. Halafu yana ujazo extra. Mengi kwa miatano ni 500ml lakini haya ni 600mls.
 
bahati mbaya siangaliagi brand.naangaliaga ubora wa maji.maji ya AFYA ndiyo huwa nahisi yako natural sana.toka nianze kunywa sijaaacha na sitayaacha
 
Back
Top Bottom