Waziri wa mambo ya nchi za Nje bwana BERNARD MEMBE amkuwa akibehave kama Don Rumsfield kwa amekuwa hawakisha kwenye matamshi yake ya kutetea huvamizi wetu wa Comoro. Kama mjuavyo mimi sina ugomvi binafsi yane na kusema kweli I still admire him kama waziri ambaye ni mchapa kazi mzuri tuuu (kama akipewa nyenzo) lakini sina hakika what he is trying to prove na suspect anataka kujiposition kama presidential candidate, well sidhani kama kuna mwanasiasa atakaye bisha kuwa hataki kuwa rais.
Sasa basi mindhali media Tanzania imekuwa SEDATED na hakuna nayeuliza hard questions sasa nimeona sisi kama wana JF tunaweza kuuliza maswali ambayo wengi wanaogopa kuuliza kwa sababu:
a) wanatumiwa Private msgs kuwa WAAACHE WENYEWE HAWAPENDI
b) woga uliojikita miongno mwetu
c) Culture ya usiri uliopo serikalini
Sisis kama wazalendo wa Tanzania hatuto betray nchi yetu kwa kuwaweka maisha ya wanajeshi wetu hatarini, hatutoleak document yoyote ile kule WIKILEAKS kama documents za ufisadi zinginezo kuhusuana nah ii military operation lakini what we need hapa ni serikali kuwa up front nasi na kujibu maswali yafuatayo:
maswali:
Kwa nini Wizara ya Ulinzi imekuwa inaburuzwa kwenye press release na Foreign? na kwa nini hatupewi in depth details za hii operation?
Kwa nini Foreign chini ya Membe ndio wamekuwa wakitupa progress yah ii vita ?
Kwa nini Ikulu chini ya Salva hawatoi statements kwenye website yao kutueleza tutanifaika vipi kama taifa kupeleka wale wanajeshi kule?
Hii vita inatucost kiasi gani perday?
Je wanajeshi wetu wangapi wamejeruhiwa?
Wangapi washakufa?
Kwa nini wanajeshi wetu hawana BODY ARMOURS?
Ni akina nani walihusika kumshawishi JK sisi kuingia kwenye hii vita?
Hii operation ili pitishwa kwa azimio lipi la AU?
Lini?
akina nani walivote kule AU?
Nani ali abstain?
kwa nini?
Kama African Union hawawezi kupeleka Helicopter kule Darfur what makes you think pesa wanazo za hii operesheni ya Comoro?
Kama AU haina pesa za mkutano wa Pan African Parliament hizo pesa za uvamizi wa Comoro zimetoka wapi?
Kwa nini serikali haitaki kutuambia kuwa imetoa kiasi gani kwenye hii operation?
INTERVENTION:
Intervention hazikatazwi mfano Tanzania ilivamia Uganda uner pretext ya self defence na the same applies to Vietnam kuvamia Cambodia ...hii concepty inatumika zaidi kwenye UN charter 51
Je, Tanzanias invasion in Comoro inaangukia kwenye criteria gani ambayo ita concstitutte legitimate intervention?
kwenye internationa law wanasema kuwa ziko 4:
1) just cause (a "supreme humanitarian emergency")
2) last resort
3) proportional use of force
4) probability of achieving a humanitarian outcome
BERNARD MEMBE ambaye anajiposition kama hawk au tuseme Donal Rumsfield wetu hakuweka wazi haya.
Ina wezekana ikawa mheshimiwa waziri alipitiwa lakini ukiangalia jamaa wa International Commission on Intervention and State Sovereignty or the ICISS wao wali suggest six principles for the "responsibility to protect": nazo ni:
1)right cause
2)right intention
3)right authority
4) last resort
5)proportionate means
6)reasonable prospects
sasa maswali :
je, COMORO ina fit that bill?
Je uvamizi wa Comoro na majeshi yetu ni JUST CAUSE?
kama zote zimetick then lets move on kwenye argument ya pili nayo ni:
Je Majaeshi yetu yatakaa kule for how long?
Strategic planners wetu wanajua kuwa its EASY TO WIN THE WAR BUT DIFFICULT TO KEEP THE PEACE?
Bwana Abdul Bacar Soihir anapendwa kisiwani kwake na tuseme baada ya kuondoa..lets say majeshi yetu yakimuua mnategemea kuwa wananchi kwenye kie kisiwa wataendelea kuwapa wanajeshi wetu haluwa mtaani?
UHUSIANO WETU NA FRANCE:
Katika nchi ambaya wananchi wanawachukia wafaransa duniani basi COMORO ni number 1
Serikali ya ufaransa knowingly walikuwa wakimuachia yule DOG OF WAR bwana BOB DENARD kuwaua na kuwabadilishia watawala Comoro sasa raia wa Comoro leo atakisikiaje akisikia kuwa Tanzania na France lao moja kwenye hili?
Situation tuliyonayo itakuja kuwa kama ya majeshi ya India kule Srinegar na Jammu Kashmir ambako majeshi ya India ambayo ni waHINDU wamewakalia kimabavu raia wa Kashmir ambao wengi wao ni WAISLAM sasa hii ndio hali itakavyokuwa sasa hivi tunasherekea lakini kutokana na Sensitivity ya waComoro na FRANCE I am sure kuwa sisi tutaonekana kama occupying force kwenye kisiwa kile.
FANATIC MUSLIMS:
Japo wanasema kuwa rais wa sasa wa Comoro ni moderate Muslim lakini mwenyewe anajulikana kuwa anapata directives toka Iran na anajulikana kama ni hard liner. Sasa hamuoni kuwa hii iko in contrast na malengo yetu ya war against Muslim Fanaticism? Majeshi yetu wengi wao ni Wakristo sasa mnasemaje kama in the future kumetokea fall out na makundi ya waislam wenye siasa kali watakapo amua kubadilisha mwelekeo wa uvamizi wetu kama Ai Deed alivyofanya kula Somalia?
Its very simple kuignite haya mambo hivyo lets not rule that out.
UNITED NATIONS:
Je hamshangai kuwa UN haitajwi kabisa kwenye hili jambo? Membe hakuwaambia ukweli na ukweli ni kuwa forcible intervention kama ya Anjouan must be legally authorised by a resolution of the United Nations Security Council (UNSC) tena in accordance with the consent of nine of the fifteen members
Mfano UNSC katika miaka ya karibuni wame authorize military intervention :
1) restore democracy in Haiti, (UNSC 1994,res/940)
2) end the repression of Kurds in northern Iraq,(UNSC,1991 res/688)
3) curb famine in Somalia,(UNSC,1992 res/794)
4) stop ethnic cleansing in Bosnia,(UNSC,1992 res/770)
5) limit genocide in Rwanda.(UNSC,1994 res/929)
Na kwa kila case ya hizi resolutions, the Council cited a threat to international peace as the principal legal justification for intervention. Sasa hebu niambieni Anjouan wamethreat Peace ya Tanzania kwa namna gani?
Wote tunajua kwa nini UNSCOM II ilifeli kule Somalia na sioni kwa nini hii military occupation ya kisiwa cha Anjouan isifeli kama kutakuwa na watu smart wa kutrigger opinion za wananchi wa Anjouan
Anyway sini sababu ya kutowahusisha jamaa wa UNITAF in the first place.
Kuna watu walisema kuwa wanjeshi wetu wnahitaji mazoezi..well wanaweza kufanya hivyo kwa kutuhudumia sisi wananchi badala ya kupoteza ma bilioni kule Comoro
Huu ni mwanzo tuu na mengine yatafuata baadae
Labda ASSAH MWAMBENE angeweka wazi kwa nini Foreign wamekuwa ma hawakish kiasi hiki na kwanini waziri wa ulinzi au wizara ya ulinzi hawaruhusiwi kusema kitu