Majeruhi wa Mapenzi (LE)..Now Available in Mlimani City, Kinondoni, Mwanza, Mbeya...etc

I just love the book yani. Kila nikikisoma kuna kitu kipya ninacho kiona kwa namna tofauti. Binafsi naweza kukisummarize kwa kusema "behind every heartbreaker there is a broken heart, and for every broken heart there is hope". that's it...

wow.. that is profoundly deep!
 
Mimi sio mpenzi WA Riwaya, ila nawaomba kwa wale wapenzi wa haya mambo tumuunge mkono MM kwa hili. Namkubali sana huyu jamaa, kwa hoja zake mkini.
 
Kwa wakazi wa Dar ambao walitaka kupata nakala ya kitabu cha "Majeruhi" katika toleo hili la kwanza mnazo kama siku mbili kuweka oda zenu kwani baada ya hapo nakala chache zilizosalia zinaenda mikoani. Asanteni sana wale ambao mmeshapata nakala zenu na kuwa sehemu ya historia ambayo tumeanza kuitengeneza.. KAMA BADO hujapata nakala yako fuata maelekezo hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...-tanzania-majeruhi-wa-mapenzi-limited-edition-*.html
 
Inawezekana; lakini kuna watu ambao tayari wakiona ni "Mwanakijiji" ninakuwa nimeshawapoteza; so sidhani kama kuna namna ya kuweza kufanya ili kumpata kila mtu. Anayejua kutenganisha burudani ya kujisomea na mambo mengine yuko huru zaidi.

Si kweli mwanakijiji,hao unaodhani utawapoteza tena ndo watakuwa wa kwanza kununua.Maybe I'm wrong kwasababu you know you own situation better than I.Nakala za lugha tofauti zinapatikana?
 
Si kweli mwanakijiji,hao unaodhani utawapoteza tena ndo watakuwa wa kwanza kununua.Maybe I'm wrong kwasababu you know you own situation better than I.Nakala za lugha tofauti zinapatikana?

hapana kipo katika lugha ya Kiswahili peke yake.
 
hapana kipo katika lugha ya Kiswahili peke yake.

Jaribu na lugha nyingine pia mkuu kuexpand market,unless your message/fictional story is specifically for specific people?lol!I wil get my swahili copy,nina marafiki wenye kupenda kujisomea novel kama hizo,ntawaambia waanze na rosetta stone.lol
 
Jaribu na lugha nyingine pia mkuu kuexpand market,unless your message/fictional story is specifically for specific people?lol!I wil get my swahili copy,nina marafiki wenye kupenda kujisomea novel kama hizo,ntawaambia waanze na rosetta stone.lol


Walengwa ni wazungumzaji wa Kiswahili. Hata hivyo kuna mpango wa kuandika kwa lugha ya kiingereza.
 
Hongera kwa kazi kubwa. Kabla sijafikiria kununua, maana siku hizi riwaya zimepoteza mvuto sana. Kinafaa kutengenezea filamu? Kina kurasa ngapi?

Naam; kina kurasa zaidi ya 250. Haki zote za kunakili au kutoa kwa namna yoyote ile nyingine zimehifadhiwa.
 
406207_10151058531736156_1407365937_n.jpg

Good News!!! Sasa tumepata mahali pa kwanza pa kudumu ambapo utaweza kujipatia kitabu cha "Majeruhi wa Mapenzi" ambacho mvuto wake unaenea taratibu nchini kama cheche nyikani! Kinapatikana duka la Trustmark Investment (T) Ltd namba yake ya simu ni +255716791177 same # 785 na 754.

Duka hili lipo: Ally Hassan Mwinyi Road opposite nyumba za Oysterbay Police, mita chache kutoka Airtel HQ. Bei ya Kitabu ni 18,000. Jaribu kupiga simu kuhakikisha wanazo nakala bado kabla hujafunga safari. We have very limited copies for Dar!


Sasa kimeshatoka!!!

Agiza kwa kupitia M-Pesa

1. *150#

2. Bonyeza 4 (Pay Bill)

3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)

4. Weka 888888

5. Enter Reference No. (Hapa andika "MAJERUHI" )

6. Enter Amount - 18,000/- (Weka kiasi unachotaka kutuma)

7. Weka password yako na kisha utume.


Au piga simu: 716791177 (pia 754 au 785) kuweka oda yako sasa na kupanga kulipia kwa fedha taslimu na kupata kitabu chako papo hapo. Kwa walio nje ya Dar tumia email hapa chini kuweka oda yako.

Ukishapata receipt number yako tuma kwa rockcitym@gmail.com

Kitabu hiki kinapatikana pote duniani kupitia Amazon.com na kama E-Book kwa kupitia Kindle

* Toleo hili ni toleo maalum, likiwa na maandishi makubwa - kwa mtu yeyote kuweza kusoma bila kufikicha macho - na karatasi zenye ubora wa hali ya juu.
Unaweza kutupata kwenye Facebook Hapa

UPDATED YA MIKOANI:

1.
Kwa wakazi wa Mikoani kitabu cha "Majeruhi wa Mapenzi" kitaanza kupatikana kabla ya mwisho wa wiki hii. Kwa vile ni nakala chache kila mkoa (hazitozidi 25) tunaenda kwa mtindo wa "first come, first get". Tafadhali piga simu leo kuweka oda Mwanza (762404820); Songea (754952119) na Mbeya (752055160). Hakikisha unataja na kiasi cha nakala unachohitaji. Bei ni ile ile sehemu zote: 18,000/-

Kwa watu ambao hawamfahamu Mwanakijiji, nafikiri ni fursa ya kipekee kumfahamu, ni mwandishi mahiri wa riwaya ambaye si dhani kama kwa sasa hasa katika nchi ya tanzania anampinzani. Anajua anachokiandika na ni dhahiri huwezi kujuta utakapokisoma hicho kitabu. sijawahi kumuona mwanakijiji ila kazi zake nazikubali kwa asilimia.
 
Thanx! mkuu nipo dom ila ntaagiza kutoka huko huko dar! au vp kwa m-pesa ntakipata hapa hapa dom?
 
Back
Top Bottom