Majeruhi wa Mapenzi (LE)..Now Available in Mlimani City, Kinondoni, Mwanza, Mbeya...etc

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
135354_10151200445901156_473669026_o.jpg


Kitabu hiki kinapatikana pote duniani kupitia Amazon.com na kama E-Book kwa kupitia Kindle

* Toleo hili ni toleo maalum, likiwa na maandishi makubwa - kwa mtu yeyote kuweza kusoma bila kufikicha macho - na karatasi zenye ubora wa hali ya juu.
Unaweza kutupata kwenye Facebook Hapa

UPDATED YA MIKOANI:
 

Attachments

  • trustinvestmentdar.png
    trustinvestmentdar.png
    96.1 KB · Views: 284
599449_10151043197061156_11353016_n.jpg


NB: Asilimia ya fedha inayopatikana kwa kila kitabu kinachouzwa inaenda kusaidia mtandao wa JamiiForums.com

Unaweza kutupata kwenye Facebook Hapa

Hili umefanya kosa kubwa sana katika marketing, hivi huoni kwamba umewapoteza wateja woote wenye mitazamo ka ya Piusi Msekwa kwamba JF ni mali ya chama fulani na ipo kwa ajiri ya kuishambulia CCM? Ungejikita zaidi katika kukitangaza kitabu ili uweze kuwauzia hata wale watu wanaotamani kuona siku moja JF inakufa
 
Hili umefanya kosa kubwa sana katika marketing, hivi huoni kwamba umewapoteza wateja woote wenye mitazamo ka ya Piusi Msekwa kwamba JF ni mali ya chama fulani na ipo kwa ajiri ya kuishambulia CCM? Ungejikita zaidi katika kukitangaza kitabu ili uweze kuwauzia hata wale watu wanaotamani kuona siku moja JF inakufa

Inawezekana; lakini kuna watu ambao tayari wakiona ni "Mwanakijiji" ninakuwa nimeshawapoteza; so sidhani kama kuna namna ya kuweza kufanya ili kumpata kila mtu. Anayejua kutenganisha burudani ya kujisomea na mambo mengine yuko huru zaidi.
 
Mkuu je kinafaa kwa familia nzima? Au ni vile vya kuficha chumbani watoto wasione!

Kwa kweli ni kitabu ambacho hutakiwi kusoma ukiwa na mtu wa jinsi nyingine na pili kina matukio ya kiutu-uzima (maneno makali, na graphic scenes like vifo). In short, si kitabu cha watoto wa shule ya msingi.
 
Leo tumeanza kusambaza kwa watu wa Dar; na natarajia tutakuwa na sehemu mbili jijini Dar kuanzia j'tatu ambapo watu wataweza kukipata kitabu hiki ambacho kimeanza kuwa gumzo...
 
kesho jumanne, inshaallah, niandalie nakala moja ntakuita wakati wowote asubuhi uniletee maeneo ya posta mpya. Pole kwa usumbufu kamanda.
 
Tayari tumeweka mahali papya ambapo kitabu kinaweza kupatikana kwa wakazi wa Dar; tunatarajia kuwa na sehemu Mlimani City vile vile.. stay tuned... moto wa usomaji unawaka taratibu....
 
Back
Top Bottom