Majeruhi wa Mapenzi (LE)..Now Available in Mlimani City, Kinondoni, Mwanza, Mbeya...etc

Kwa kweli ni kitabu ambacho hutakiwi kusoma ukiwa na mtu wa jinsi nyingine na pili kina matukio ya kiutu-uzima (maneno makali, na graphic scenes like vifo). In short, si kitabu cha watoto wa shule ya msingi.

Kama ndivyo, basi ngoja mwenyezi mtukufu kwanza uishe, nitatupa order...i hope bado kitakuwapo!!
 
hichi kitabu nitakinunua kukusapot Mzee Mwanakijiji,japo sio mpenzi sana wa vitabu vya mapenzi napenda vya harakati zaid,ikibidi utuandalie na cha mtindo wa harakati....ila nitatoa appreciation yangu kwa navyokubali kazi zako.
 
Shukrani sana ila huwezi kujua unaweza kujikuta unakuwa addicted very soon!!
 
Back
Top Bottom