Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

MO11 ukipata pesa i'll love you to death[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Tatizo wanawake hawana vichwa viwili.Mwanaume akiongozwa na kichwa cha chini basi kichwa kikubwa hakifanyi kazi.
Ushahidi wa thesis yangu ni kwamba kichaa mwanamke hakosi bwana ndio maana unaweza kuwaona vichaa wanawake wakiwa na watoto na wengine wana mimba.
Sasa hebu jiulize wametiwa mimba na wanaume vichaa??.
Jibu ni hapana wametiwa mimba na wanaume wenye akili zao lakini wakati wakifanya tendo hilo ni kichwa kidogo tu ndio kilikuwa kinafanya kazi.
Wonderful!
You're talking my Talk. I like to call it
THE BATTLE OF THE HEADS.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]

Mshana hapa sijajua umetumia utafiti upi ndugu yangu, lakini kwa muono mwingine inaweza kuwa ni kinyume kabisa..Suala la mwanaume kupata pesa na kuangukia majaribuni mimi binafsi nafikiri kwamba ni kutojiamin kwa huyo mwanaume ndicho kinampelekea kwenda kinyume na mipango aliyokuwa amajiwekea pindi apatapo pesa.. Kitendo Cha mume kuteuliwa na mungu kuwa kiongozi wa familia inapaswa mwanamume kuthamin sana hicho cheo alichopewa na Mungu lakini la zaidi anapaswa kujenga Hali ya kujihamini katika nyakati zote uwapo na pesa na uwapo hauna pesa..Mwanamke anapokuwa hana pesa hawi dhaifu bali anakuwa mmenyekevu na mwenye heshima kwa mume ambaye ndio kichwa..kuhusu suala la kumkabidhi pesa mwanamke awe ndio mmiliki na mpanga mipango ni kutafuta matatizo ambayo yatapelekea mwisho wa uhai wako hapa duniani kuwa mfupi sana..hawa viumbe ni viumbe wa kuongozwa tuu Mzee hata ukisikiliza ushauri wake upokee lakini kabla hujafanya maamuzi tumia akili ya kiume kufanya maamuzi kwa utulivu..ukishamkabidhi hizo pesa ndo utamuaona shetani live katika maisha yako ya ndoa,wenzetu ni dhaifu sna hasa katika kuamua ni lipi sahihi kwa Muda gani na wakati gani..Maono ya mwanamke sio ya Muda mrefu kama ya mwaume:kama wewe unawaza miaka 10 mbele basi mwenzio anawaza Leo na kesho basi. Kuna jamaa yetu alijitoa uhai baada ya mke kuchota pesa yote bank na kizuri zaidi wote wawili walikuwa signatory(any to sign)na hicho kipindi ndio hiyo pesa ilitakiwa kwenda kufanya kazi za watu na faida ambayo ingepatikana bas ndo ingekuwa ya familia..jamaa ilibidi ajitumbukize kisimani maana hakuwa na majibu ya wapi pesa mke amepeleka[emoji17]..hivyo ndugu mshana tafakari sana ushauri ulioutoa kwa wanaume wenzio..

Poleni kwa maelezo marefu
 
Shetani anasingiziwa mengi sana aisee.
Sasa shetani huyu ni kwa waafrika tuu au na hata kwa wazungu?
Maana kwa wazungu wana mihela wanapanga maendeleo na yanapangika na ziada hutupa huku afrika kama misaada.
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom