Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Tatizo wanawake hawana vichwa viwili.Mwanaume akiongozwa na kichwa cha chini basi kichwa kikubwa hakifanyi kazi.
Ushahidi wa thesis yangu ni kwamba kichaa mwanamke hakosi bwana ndio maana unaweza kuwaona vichaa wanawake wakiwa na watoto na wengine wana mimba.
Sasa hebu jiulize wametiwa mimba na wanaume vichaa??.
Jibu ni hapana wametiwa mimba na wanaume wenye akili zao lakini wakati wakifanya tendo hilo ni kichwa kidogo tu ndio kilikuwa kinafanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii mada comments zake kiboko

Jr[emoji769]
 
  • Thanks
Reactions: Tui
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
Hapana sio kila mwanamke anapewa hela i bora umpe mama yako au uweke kwenye benki yakujijenga.
Mtu kapewa juzi ml. 3 na mumewe saivi nikujiremba tu na kubadilisha nguo eti kapewa afanyie vitu muhimu.
 
Kaka mwanaume wa ki-Pare hata awe na milioni 300 shetani hatajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sky bichwa lako umenifanya nionekane mwehu mbele za watu kwa kicheko.

Maendeleo hayana chama
 
😂😂😂😂😂
 
Hapana sio kila mwanamke anapewa hela ish bora umpe mama yako au kwenye benki yakujijenga.
Mtu kapewa juzi ml. 3 na mumewe saivi nikujiremba tu na kubadilisha nguo eti kapewa afanyie vitu muhimu.
Katoto kazuri mi hua nakukubali sana humu jukwaani, comments zako mara nyingi huo zinaonyesha hauna unafiki, kwenye ukweli wewe unaongea tu bila kupepesa jicho hata kama ukweli huo unaigusa jinsia yako.
Nakuahidi mi nitaendelea kuunga mkono juhudi zako.

Asante
 
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
Kunywa balimi tatu mkuu popote ulipo nitalipia
 
Mtani nakuheshim sana ila leo umenichosha yani unaniambua nimpe mama manka izi pesa zote, yesu na maria, hana pesa lakini ananiumiza kichwa nikimpa pesa sindio atanibangua kama korosho,
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa balimi tatu mkuu popote ulipo nitalipia
Naomba nitafutie hii[emoji24][emoji24][emoji24] nimemmiss brother K
IMG-20190119-WA0076.jpeg

Jr[emoji769]
 
Katoto kazuri lazima ni binti wa kichagga au kwenye ukoo kuna unasaba na wachagga au kaongezewa damu na mchagga.
Ni wanawake wachache sana wakipewa pesa wanafikiri maendeleo.
 
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
Jr ukiachana na tunguli utafanya mambo mengi makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom