Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,209
Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc.

Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela). Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao.

Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate
pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.

Nini kifanyike?

Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. lli shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli.

Anaondoka zake kurudi kwenye
makazi yake!
 
Kwanini ushindwe kutunza pesa,mpaka utunziwe
Nidham ya kutunza pesa inaanzia utotoni na wazazi
Mzazi anakupa hela nauli+matumizi ya wiki na mzazi anakuambia hataki kusikia stori

Ova
 
Wanawake hawa wapenda shisha au wanawake gani mkuu
 
Unaongelea wanawake wa Karne gani mkuu? Hawa hawa wa miaka hii wanaocheza vikoba 10 kwa siku?
 
Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc.

Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela). Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao.

Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate
pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.

Nini kifanyike?

Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. lli shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli.

Anaondoka zake kurudi kwenye
makazi yake!
Mwanmke ana milango 6 ya ufahamu na mwanaume anayo milango 5 ya ufahamu,je huu mlango 1 wanaume tuliiupoteza wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom