Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
373,283
Reaction score
864,851
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
 
..
Mpo hapo wanaume

Jr[emoji769]
Mara ya kwanza kuelewa uzi wako, labda kwakuwa huja mention maiti au msukule hata mara moja.
 
Tatizo wanawake hawana vichwa viwili.Mwanaume akiongozwa na kichwa cha chini basi kichwa kikubwa hakifanyi kazi.
Ushahidi wa thesis yangu ni kwamba kichaa mwanamke hakosi bwana ndio maana unaweza kuwaona vichaa wanawake wakiwa na watoto na wengine wana mimba.
Sasa hebu jiulize wametiwa mimba na wanaume vichaa??.
Jibu ni hapana wametiwa mimba na wanaume wenye akili zao lakini wakati wakifanya tendo hilo ni kichwa kidogo tu ndio kilikuwa kinafanya kazi.
 
Shetani shindwa.
Shetani sio wanaume tu, hata wanawake anawashambulia.

Unaweza kuta binti kaolewa muda mfupi baadae anakutana na jamaa anamchanganya kuliko maelezo. Unajiuliza huyu kwa nini hakutokea kabla hujaolewa?

Hii ikikutokea dada jua mchepuko ndio shetani mwenyewe. Funga na kukesha ukisali shetani apitie mbali 😂
 
Back
Top Bottom