Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

Uuuh, mkuu sidhani japo kwa wengine yaweza kufanya kazi. ila kwa wengine itagoma. Miaka kadhaa huko nyuma nimeshawahi kuishi kwa hela ya mchepuko, na yeye huchukua kwa mumewe, tena nilikuwa sina gari yeye anakuja kunichukua na gari yake tunaenda kubanjuka, na ananirudisha na gari yake. Nikampa na zawadi ya mimba akaenda kumlengeshea mumewe na leo mtoto mkubwa tuu, japo roho inaniuma kuachia damu yangu kwingineko
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Jr[emoji769]
 
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
Mkuu, Mwanamke yoyote mwenye pesa awe na mume au hana mume lazima awe na kimtu ambacho anakihudumia kwa kila kitu kinachohitaji
Ndio maana kuna kitu kinaitwa benten
Benten ni matokeo ya wanawake kumiliki pesa
Ushetani mwingine unaowaingia ni kudharau waume zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Automatically pesa ni iblisi sheitwan........yeye kazi yake ni kuharibu tuu.....uwe nazo usiwe nazo....ndo utamshangaa iblisi.......suala la kumkabidhi nkeo fweza hilo ntalipinga daima.......ni kuweka fikra zako katika malengo uliyojiwekea toka ulipokuwa unaanza kujitambua...... mwili unahitaji kubudani na burudani hizo zinahitaji money......kuoa ni mwendelezo wa fikra na malengo yako....sasa bahati mbaya uliyemuoa ndie anaweza kuja kufuruga fikra na malengo yako........shetani anaweza kuja kama malaika.......
 
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.```

*_Nini kifanyike?_*

```Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake!```

Jr[emoji769]
Sawa mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji123][emoji123][emoji123]
IMG-20190813-WA0175.jpeg
 
Wanawake...i love wanawake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom