Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

Fafanua,

Wakristo wa Kongo wanakufa Kwa Ujinga wao upo?

Tuanzie hapo!!
 
Hahaha niliona ile battle yako na wao nikajisemea hapo una deal na watoto wadogo nimeshakumbuka ule uzi!
😁😁
 
HOFU ya Mungu ndiyo inatafutwa hapa.

Tujue Mungu yupo, na Huwa hawezi kuvumilia UOVU kutamalaki duniani,

Adhabu ni nyenzo muhimu kuwaleta katika TOBA.

Ubarikiwe.
 
Hahaha niliona ile battle yako na wao nikajisemea hapo una deal na watoto wadogo nimeshakumbuka ule uzi!
😁😁
Tuanapaswa kukubali kukosolewa. Japo wote tumeokoka na tunae Roho Mtakatifu, lakini uelewa wa neno unategeea misingi uliyopitia. Wote hatuwezi kuwa na uelewa sawa, tunazidiana. Ila wao hawakubali kukosolewa wanakimbilia kuhukumu tu.
 
Fafanua,

Wakristo wa Kongo wanakufa Kwa Ujinga wao upo?

Tuanzie hapo!!
Kwamba hawatambui mtu ukijiita Mkristo unakua kiumbe kipya 2 kor 5:17

Pili maisha yako anakua ni Kristo anaishi na Sio wewe
Yn 15:7

Wakristo wanateseka bure just imagine Yesu ndie wewe halafu bado unashindwa kufanya kitu ubadilishe Mazingira what kind of stupid you do ?
Maisha ya Mkristo yanaongozwa na Neno + Roho Mtakatifu yaani chochote unachofanya ni Mungu anafanya sasa hayo Mateso utapataje?

Watu wanahitaji Injili broo wajitambue wao ni kina nani ili waishi maisha ya utimilifu wa Kristo!
Kwako Rabbon
 
Wewe unayejitambua,

Saidia sasa kuzuia haya mafuriko yanayoikumba Dunia nzima,

Toa tamko, au yakemee Ili yakome, hapo ifakara ,dar Mbeya na kwinguneko, uharibifu ni mkubwa.
 
Tuanapaswa kukubali kukosolewa. Japo wote tumeokoka na tunae Roho Mtakatifu, lakini uelewa wa neno unategeea misingi uliyopitia. Wote hatuwezi kuwa na uelewa sawa, tunazidiana. Ila wao hawakubali kukosolewa wanakimbilia kuhukumu tu.
Kujifunza ni kila siku mkuu tatizo ndugu zetu walokole waliowengi wanajiona wamefika ila ukiangalia ni zero wanahitaji gospel kua huru maana bado wokovu haujawakomboa kidogo,mimwili na kifikra
Tuwaombee Roho Mtakatifu awafunulie kweli wawe huru na Sio mateka kama walivyo!
 
Wewe unayejitambua,

Saidia sasa kuzuia haya mafuriko yanayoikumba Dunia nzima,

Toa tamko, au yakemee Ili yakome, hapo ifakara ,dar Mbeya na kwinguneko, uharibifu ni mkubwa.
Kila mtu aliumbwa awe kuhani wa maisha yake nitakacho kusaidia mimi ni kukupa mwongozo tu sina wajibu wa kuombea Dunia nzima kila mtu amepewa Neema ya kubadilisha Mazingira yake
Na maombi yangu kwa watu waliopo maeneo yenye majanga ni wahame huko maeneo hatarishi na wahamie sehemu salama hayo ndio maombi yenye nguvu maana huwezi zuia nature kwa maombi yaani nifanye maombi pale Jangwani pasifurike?
What kind of stupid maombi I do?
Nikisema hivyo haimanishi nisishirikishe akili zangu za kawaida kufanya maamuzi ndugu Rabbon
Kama hao waliopata majanga hawasimami kwa ajili yao nani atawasimamia isipokua wao kufanya maamuzi sahihi huko wakimshirikisha Mungu wao?
 
Hujui kuwa wapo waombaji ambao wamepewa kibali Nchi hii kuzuia Ebola kuvuka mipaka kuja Tanzania?

Unadhani USALAMA huo ni hiari Yako binafsi?
 
Sio kwamba ni dalili za siku za mwisho?
 
Sio kwamba ni dalili za siku za mwisho?
Ndizo dalili Hasa!!

Kila WANADAMU wanapojisahau, wanaotumia Amani na mafanikio yaliyopo kufanya UOVU wakamsahau Mungu,

Mungu huruhusu kipigo Ili kuwarudisha katika mstari,

Kwa yanayoendelea sasa, uwe na HAKIKA Mungu anatakiwa sana, na wengi wanamlilia awaokoe.

Hivyo tusisubiri majanga ndipo tumkumbuke Mungu,

Maisha yote, Mungu awe wa kwanza.

Ubarikiwe!!
 
samahani naomba niulize swali, hizo dalili Yesu alizisema, je tunapotakiwa kuomba, tuombe majanga na vita visiwepo, au au tuombe watu wapate neema ya wokovu? maana mwisho upo na hizo ndio dalili zake
 
Hujui kuwa nzige walizuiwa kuingia nchini Kupitia maombi, wakaishi mpakani?

Hujui kuwa Ebola pia Huwa inazuiwa isivuke mpaka kupitia maombi?

Usidharau maombi ya mwenye HAKIπŸ™
Hahahaha chizi mmoja wewe!

Mbona hamzuii umasikini Kwa maombi au Ajali za Barabarani Kila siku zinaua watu mbona hamzizuii Kwa kuomba!

Jinga kweli wewe
 
samahani naomba niulize swali, hizo dalili Yesu alizisema, je tunapotakiwa kuomba, tuombe majanga na vita visiwepo, au au tuombe watu wapate neema ya wokovu? maana mwisho upo na hizo ndio dalili zake
Dhima ni watu kutubu, na kuishi maisha matakatifu,

Kumrudia Mungu, automatically kunafukuzia mbali au kusogeza mbele majanga.

Kama ujuavyo Dunia ni kubwa, na hayo yanayotokea ni Mahali Mahali, Si kama sasa ni kama Dunia nzima inapigwa.

Tanzania ni Nchi ya AGANO, tunawajibika kuibeba Dunia, Kwa ajili ya WATAKATIFU.

Na ni Kweli kuwa majanga kuanzia Sasa na kuendelea, hayatakoma.

Mtakatifu aendelee kujitakasa, mwovu, azidi kuwa mwovu.
 
Acha mbwembwe! Sababu ni, za, kisayansi, tabia nchi, sio Mungu anaadhibu watu, kama Mungu ana hasira na watu wake, kwanini asiwaangamize mara moja tu kama zamani
 
Acha mbwembwe! Sababu ni, za, kisayansi, tabia nchi, sio Mungu anaadhibu watu, kama Mungu ana hasira na watu wake, kwanini asiwaangamize mara moja tu kama zamani
Mungu anawapenda watenda dhambi,

Ila anachukia dhambi iliyo ndani ya watenda dhambi,

Hivyo anaruhusu kipigo kwa watenda dhambi Ili waache dhambi na kurudi kwake.

Ni hivyo tu.
 
kwa sentensi yako ya mwisho maana yake kila mtu ambapambane na hali yake, kwani mwisho upo vita hazitakoma bali zitaendelea kuongezeka, matetemeko, majanga ya kila namna hayana budi kuwepo cha kuomba ni Mungu akupe mwisho mwema
 
Ni Kweli,

Ila Kila mtu apambane na Hali ya moyo wake binafsi, wakati huo huo akijumuika na wengine Ili kupata mtaji wa nguvu ya maombi, maana kuomba pekeako huchosha sometime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…