Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 13,064
- 26,247
Lema na vijana wake wa kazi
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mzigo wa Rizimoko huo washaupiga wanaume. Baba mtu kashaongea na manguu awasake.
Lema na vijana wake wa kazi
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa dhamani ya mzigo jamaa waliopiga kazi nimewakubali
Hiyo dili imesukwa na magaidi sio majambazi
Inaweza kuvunja rekodi ya kasusura!
Hao ndio wanaume! Sio mnakuja kutuibia vyupi vyetu uswazi bado mnatuua. Una silaha unamwibia maskini mwenzio na unamuua. Waibieni mafisadi kama hivyo. Huo mzigo unamkono wa mafisadi kibao,Safi sana majita.
Usijekuta kuna inside job maana walijuaje kuna mzigo na thamani. je kulikuwa na police escort
wachukue tu, hiyo ni safari moja tu kati ya maelfu ya tanzanite kuporwa. Mi sifikilii ujambazi Huo. Lakini unaona kwa nini tanzania ni kati ya inchi kumi bora zenye akili finyu. iweje tuna madini ya thamani ivo , yaani kilo 15 ni bilioni kumi halafu nchi masikini, kwani hivi ina laana gani jamani. wageni waje na kuwa matajiri na nchi kwenda chini, looh EE mungu wangu. ni aibu kuwa kiongozi katika nchi yenye mali ikiwa masikini. Kuna fahari gani kuendesha Ferrari kwenye vumbi, kupitisha range kwenye squeter,au kujifariji kuwa wewe ni tajiri kati ya fukara, hili haliwezekani tutaomba mungu tu. wafisadi kwa neno la bwana hawatakiwi kuishi zaidi ya nusu ya life spam yao, hilo ni andiko sio mimi, yaani kati ya miaka 35-40.sasa ni kuitekeleza hukumu kwa kutuma neno la mungu hilo ili malaika walitekeleze.
Hiyo issue ina wa2 wengi kuanzia ndani istoshe ucku ndio huwa wanatorosha madini,inakuja jet yao inatua kia wanaleta mzigo kimyakimya then wa2 wa tra wanahongwa ndege inaondoka.
Huo mzigo ni zaidi ya 15kg mana production yao huwa karibia 200kg so wakisort mawe masafi watapata c chini ya 50kg
This is a nice joke, kiukweli nimecheka mwenyewe asubuhisubuhi, yaani unamaanisha ni ....Kwa hiyo kilo moja ya Tanzanite ni bei ngapi?
Hizo hela zitasaidia kampeni za ubunge Arusha 2015
nafanya biashara ya tanzanite ulichoandika hapo sikweli kwanza tanzanite inauzwa kwa caret not gram na caret moja ya tanzanite top colour yani triple A nice usd 300 name gram 1 sawa na caret 5 so fanya hesabu utapata jibuGram ya tanzanite ikiwa y top colour ni 1.5m so hpo wazungu wamedanganya mana walikua wanasafirisha kimagendo wasilipe kodi wajuba wakasoma dili,huwa wanasafirisha na escort na gari yenye bullet proof body
OK kama unazungumzia rough nimekupatamimi nauza rough stone kwa wanao uza ambazo wameshafanya cutting ndio wanatumia caret c gram,wachimbaji wengi wanauza rough stones
OK kama unazungumzia rough nimekupata
Nyari at work
embu tafuta hzo tetesi alafu utujuze
mimi huwa nauza finish products sifanyi roughHata brokers wanadili na rough sana ila maofisini ndio wananunua then wanachonga kutegemeana na order,huwezi export roughstone lazima iwe imechongwa
mimi huwa nauza finish products sifanyi rough
najua lazima ununue rough ufanye cutting uwezi kuuza nje rough kama mawe mengi mfano ruby ,suphireHata brokers wanadili na rough sana ila maofisini ndio wananunua then wanachonga kutegemeana na order,huwezi export roughstone lazima iwe imechongwa
najua lazima ununue rough ufanye cutting uwezi kuuza nje rough kama mawe mengi mfano ruby ,suphire