Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

Watu wenye silaha wavamia gari, kupora Kg 15 za madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh10 bn usiku wa kuamkia leo Manyara, Polisi athibitisha.
Chanzo:Mwananchi

Hii biashara ya tanzanite Arusha na Manyara ina mambo mengi yafanywayo katika njia zisizo halali (usiri mkubwa na utemi/ubabe wa pesa na vitisho). Wewe mzigo mkubwa hivyo unasafirishwaje usiku??? Kama ulikuwa na BIMA; kuna muziki mkubwa unachezwa nyuma ya pazia.....
 
15kg ni sawa na Carat kama 75,000!
Bei inatagemea na ubora wa mawe, tufanye wastani wa 150,000 TZS kwa carat
75,000 x 150,000= 11,250,000,000/=
huo ni mpango tu umesukwa.
 
Duh balaa, superb_20 profit ndio maana Arusha kuna mabilionenia wengi?

Haikuwa Arusha, llakini gemstone zinafaida mpaka mtu anaumwa, lau dhahabu watu wanajua bei ya gram na mnapima,lakini mawe unalipiga tochi unasema "daah, laiti hili jiwe lingekuwa clear ungepiga pesa,sasa hiliwingu daaah,halafu unaona ufa huu!"....yaani bei inategemea hisani ya mnunuzi, mawe mengine wachimbaji hata hawayajui, wanapigwa tu yanajumuishwa kwenye cheapstone mtu anatandikwa maisha yanakwenda!
 
Walikua wameyavuna usiku na Walikua wanasafisha kutoka mgodini kwenda strong room yao.
Kuhusu soko la Tz9t liko open every where in North zone
 
Goodnews gari moja limeporwa madini ya Tanzanite kilo 15 yenye thamani ya 10 billion huko Manyara ni goodnews kwa sababu yalikuwa yanatoroshwa

du ni thamani ya bajeti ya wizara fulani iyo.
 
Walikua wameyavuna usiku na Walikua wanasafisha kutoka mgodini kwenda strong room yao.
Kuhusu soko la Tz9t liko open every where in North zone
Yaani hata kama wangekuwa wanayatoa strong rum A kwenda B within the same building na hawakuwa na ulinzi wakutosha ni uzembe tu haina pa kuoshea!!!!!!
 
Haikuwa Arusha, llakini gemstone zinafaida mpaka mtu anaumwa, lau dhahabu watu wanajua bei ya gram na mnapima,lakini mawe unalipiga tochi unasema "daah, laiti hili jiwe lingekuwa clear ungepiga pesa,sasa hiliwingu daaah,halafu unaona ufa huu!"....yaani bei inategemea hisani ya mnunuzi, mawe mengine wachimbaji hata hawayajui, wanapigwa tu yanajumuishwa kwenye cheapstone mtu anatandikwa maisha yanakwenda!

Been there done that!!!!
 
safi sana!

Hii ki2 iko kimyakimya mana nimepita njia hiyo saa 8ucku kwenda twn palikua shwari 2,bei y tanzanite kwasasa ni 1.5m pia mawe hayaonekani pia iko pink tanzanite hiyo gram ni 2.5m ila hupatikana migodi y block d
 
Wapowapi hao vidune niwaozeshe dadayangu angalau tutokemo.
 
Shkamoo jambazi,na Mwanza madini yanapatikana njooni na huku.
 
Lost society....
Jamii iliyopotea..
Yaani hakuna hata mmoja so far aliyeona ujambazi na ujangili ni jambo baya???
Je kama aliyeporwa ni mmiliki halali na ana vigezo vyote???
Naioenea huruma nchi yangu hii.
Kuiacha katika mikono ya vijana ambao kuiba na ujambazi ndio unashibikiwa na kushangiliwa!
Mwishowe, mtaanza kuvamiana wenyewe kwa wenyewe.
Nyerere aliwaita WaKenya "Manyang'au" kumbe manyang'au ni Watanzania!
Aibu tupu ..... Totally disgusting!

Mkuu Matembele,

Mawazo potofu yameanzia juu mpaka chini, kuanzia kwa wanasiasa walioshika ofisi kubwa mpaka kwa mkulima. Wote hawana aibu. Wakubwa wanashirikiana na wageni kuwanyonya walalahoi na kupora mali za uma huku walalahoi wakiparurana wao kwa wao! Canibalism at full swing!
 
Sio kwenye hili, walalahoi tunapendana wenyewe sana tu makaburi tunachimba kwa mikono yetu wao wanakodisha watu, misibani tunapika wao mambo ya tenda, jeneza mabegani wao wana gari spesho,njoo ukute mwivi anataka kuchukua kidogo chetu!!!!!!

Ubaguzi ni mid and upper classes, huko ndiko canibalism ilipozaliwa!!!!!
 
Back
Top Bottom