Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
Goodnews gari moja limeporwa madini ya Tanzanite kilo 15 yenye thamani ya 10 billion huko Manyara ni goodnews kwa sababu yalikuwa yanatoroshwaKwa hiyo kilo moja ya Tanzanite ni bei ngapi?
Hizo hela zitasaidia kampeni za ubunge Arusha 2015