Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

Wapowapi hao vidune niwaozeshe dadayangu angalau tutokemo.

Mkuu hata kama walikuwa waowe kwenu mmechelewa
Sasa ni level za kina dada yake manji,mengi,barharesa na madon wengine kama hao
Dada yako kabaki saizi yetu sisi usijali tutaleta posa!!
 
Kwa hiyo kilo moja ya Tanzanite ni bei ngapi?

Hizo hela zitasaidia kampeni za ubunge Arusha 2015
Safi sana waporaji sii ma ccm yanaiba yenyewe na kutumbua kwa visafari kwenda kupiga picha na vi diaspora uchwara kama huyu
 
For the first time, I am happy about something like this, ukizingatia maisha magumu ya wachimbaji wadogo tokea mwekezaji aingie huko
 
Kama waliobiwa na wazungu na walioiba ni wabongo basi Ramadhan Kareem naona heri za mwezi mtukufu
 
Mkuu hata kama walikuwa waowe kwenu mmechelewa
Sasa ni level za kina dada yake manji,mengi,barharesa na madon wengine kama hao
Dada yako kabaki saizi yetu sisi usijali tutaleta posa!!

Mkuu kuna tetesi hawakufanikiwa kuiba kuna mlinzi ndio anatupa habari ngoja nipate uhakika kwanza ntawajuza
 
Kwa hapo nawasifu kwa ujasiriamali uliotukuka,Pambaf 10 B unasafirisha kama karanga?
 
Wamepiga nusu ya kidari, wakawa wameacha kidari moja nzima(kidari means mfuko) katika purukushani hiyo
 
Walitoa shimoni wanakofanya kazi watu shift ya usiku, siku hizi sekta ya ulinzi imeshikiliwa na wabongo tupu, ufanisi ndo hivyo tena
 
wachukue tu, hiyo ni safari moja tu kati ya maelfu ya tanzanite kuporwa. Mi sifikilii ujambazi Huo. Lakini unaona kwa nini tanzania ni kati ya inchi kumi bora zenye akili finyu. iweje tuna madini ya thamani ivo , yaani kilo 15 ni bilioni kumi halafu nchi masikini, kwani hivi ina laana gani jamani. wageni waje na kuwa matajiri na nchi kwenda chini, looh EE mungu wangu. ni aibu kuwa kiongozi katika nchi yenye mali ikiwa masikini. Kuna fahari gani kuendesha Ferrari kwenye vumbi, kupitisha range kwenye squeter,au kujifariji kuwa wewe ni tajiri kati ya fukara, hili haliwezekani tutaomba mungu tu. wafisadi kwa neno la bwana hawatakiwi kuishi zaidi ya nusu ya life spam yao, hilo ni andiko sio mimi, yaani kati ya miaka 35-40.sasa ni kuitekeleza hukumu kwa kutuma neno la mungu hilo ili malaika walitekeleze.
 
Lema na vijana wake wa kazi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
wanalipa rasilimali zetu tulizoibiwa na sisi
 
Hao ndio wanaume! Sio mnakuja kutuibia vyupi vyetu uswazi bado mnatuua. Una silaha unamwibia maskini mwenzio na unamuua. Waibieni mafisadi kama hivyo. Huo mzigo unamkono wa mafisadi kibao,Safi sana majita.
 
Back
Top Bottom