Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote.
Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya watanzania zina msubiri kwa hamu kubwa sana.
Kwakifupi hapo kutakuwa na washauri wasio rasmi kibao ambao anao ila hao ni hewa tu.