Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande.
Atakumbukwa kama Jaji Mkuu aliyeruhusu Mahakama kupakatwa na Wanasiasa hadi Chama cha Mawakili wa Tanganyika kusimama kuitetea Mahakama.
Leo hii Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya wamekuja nchini Tanzania kufuatilia kesi ya Rais Mstaafu wa Chama cha Mawakili/ Wanasheria Tanganyika. Majaji Wakuu hawa Willy Mutua na CJ Maraga wanasifika sana nchini Kenya kwa namna walivyosimamia Uhuru wa Mhimili wa Mahakama dhidi ya hila za Wanasiasa wa Kenya.
Majaji Wakuu hawa wa Kenya wanasifika kwa kusimamia misingi ya Katiba ya Kenya hadi kuwafanya wanasiasa kuogopa kuibaka Katiba ya Kenya. Ndo mana sote tumeona leo habari ya wao kuja nchini Tanzania kufuatilia kesi ya Lissu imetangazwa hadi na vyombo vya kimataifa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma, alishindwa kusimamia unyeti wa Mhimili wa Mahakama kwa kujipendekeza sana kwa Viongozi wa Mhimili wa Serikali na Chama cha Mapinduzi kiasi ambacho Mahakama imekuwa kwenye hali mbaya sana chini yake.
Ni vizuri Jaji Profesa Ibrahim Juma akajifunza na kutubu kabla ya Umauti wake maana alitakuwa kufanya kama wenzake Maraga na Mutua walivyofanya kwa kusimamia misingi ya haki na Uhuru wa Mahakama.