Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

kama nikweli magamba wamefikia hapa, mjue sasa wamefika mwisho na propaganda zote zimefail wamebakia na liwalo na liwe bora ushidi tu, hii hatari sana ..
 
Matunda ya kambi za kigaidi ccm iliyozifanya Singida.

Sasa namna CHADEMA watakavyoshughulikia mauaji ya wahanga hawa ndicho kitu pekee kinachoweza kutoa picha ya ikiwa chama kinajali maisha ya wananchi wanyonge wanaojikongoja kutafuta ukombozi wao.

Tanzania ilimwondoa mkoloni bila kumwaga damu sasa hivi kuliko CCM iondoke jimboni ipo tayari kumwaga damu. Tunaelekea wapi?

Rais tuliye nae sasa hatufai na hata kama tukisikia amepata ajali ya ndege akafa hakuna wakumlilia, na atakaeonekana akilia atatandikwa bakora.
 
Jamani meli imeshaanza kuzama tujiulize tusiangalie hapo Igunga tu je sehemu nyingine hawaathiriki kama huko Igunga?

Kweli Mukama kaihamishia Tanzania kwa OSAMA. Yaani Mukama, Nape na Wassira wanataka kuigeuza Tanzania ni kisiwa cha machafuko jamani, duh...... haivumiliki.

CCM wanajua walichokifanya ndio maana walienda kusherekea ushindi nje ya Igunga wakitaka kutimiza malengo yao ya kuuwa.

Sasa CHADEMA itabidi uvumilivu uwashinde muyapeleke mbele kwa sababu Tanzania hakuna mtu wa kuweza kukemea. Ikiwezekana kulifikisha kwa mabalozi ili kusudi msikilize na wao watasema nini?

Tunaomba wanachama wote wa Chadema popote walipo wapeane taarifa kama watakuwepo hawa vijana wa GEEN GUARD wananchi ili wananchi wajihadhari nao.
 
Kila siku huwa nasema kuwa Amani ya Tanzania itavunjwa na CCM. Watakapiofikia mwisho wa kukubalika na wananchi basi watakachofanya ni kulinukisha tu. Prime suspect wa mauaji haya ni Mwigulu Nchemba kwa kuandaa kambi ya ugaidi ULEMO na kusingizia kuwa ni mafunzo ya ujasiri. Kitu wanachishindwa kujua ni kuwa Unapo-train watu wasio na uelewa kuwa militia na vyombo vya usalama vinaangalia basi ni dhahiri watu hao wanajua kuwa wamepewa Go ahead kwa chochote kile mradi tu chama kishinde uchaguzi. Kufunika mauaji haya si dawa, kwani tayari ni dosari kuwa CCM wakizidiwa kwa hoja wanaua na hawafanywi kitu.

Wasiwasi wangu mimi ni kuwa ndugu wa marehemu hawa kama wana roho za visasi basi ni dhahiri kama sheria haitachukua mkondo wake wataanza kuwa-target wavaa kijani wote sasa. Ikifika hapo na upande wa kijani nao wataanza kufikiria kulipiza. Ikifikia kisasi juu ya kisasi basi ni dhahiri nchi itakuwa imeharibika. Mtutu wa bunduki na mabomu huzuia watu kufanya mambo hadharani kwa kuhofia kuuwawa, ila nia na dhamira ya kulipiza ikiwa mioyoni mwa wananchi ni hatari zaidi ya anayejitokeza hadharani. Maana kurudisha attitude ya watu kuishi kama zamani ni ngumu zaidi.

Kuna jamaa mmoja mkubwa jeshini aliwahi kuniambia kuwa CCM haitakuwa tayari kutoa madaraka kwa njia ya kura, kwani wamejiandaa phase ya kura ikiwashinda wanaingia katika phase ya kijasusi na kijeshi (pure dictatorship). Nikajua ananitania ila matendo haya yanaashiria mabaya kwa Taifa Mwalimu Nyerere. Maana hakuna kiongozi hata mmoja anayeweka masilahi ya Taifa mbele zaidi ya kulinda ya kwake.

Poleni sana ndugu wa marehemu mliouwawa kwa kuwa tu mna mtazamo tofauti na CCM. Wasiwasi wangu ni kuwa CCM na vyombo vyake vya dola vinavyolinda wauaji wanaweza kuanza kufanya targeted killings kwa kuondoa watu wenye ku-influence mageuzi vijijini, maana huko ni lawless. CCM ndiyo polisi, mahakama na jela.

TUNATAKA KATIBA MPYA ITOKANAYO NA WANANCHI SIYO WATAWALA.
 
Pamoja na watu wote waliokufa kwenye meli huko Zanzibar bado Watanzania wengine wametolewa roho kwa taama ya Ubunge tu!? Hivi hii chuki nani ataifuta maana lazima damu haita potea bure.
 
Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambae ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya Chadema ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi...
Imenisikitisha sana,

Mwanamke akiamua kupambana anapambana kweli kweli sio mchezo. Basi huyu mama alikuwa hana tofauti na huyu VERONICA aliyepambana na kuikomboa nchi yao.

 
Last edited by a moderator:
Chadema tunaka sasa kuona seriousnes yenu kwa jambo hili,wanachama wenu wanateketea na midude CCM.

Nnauye, Mukama, Nchemba na Wasira ni watu wanafiki na wauaji wakubwa, kwanini haya yanatokea sasa kwenye uongozi wao ndani ya CCM? Na si wakati wa kina Yusuph Makamba?

Kweli inaumiza sana tunataka tamko lenu Chadema tumechoka na diplomacy zenu. Watu wataanza kuogopa hata kusimamia kura wakati mwingine kwa kujuwa hakuna wa kuwasemea!

Pigeni kelele mataifa yasikie na wananchi wasikie, nyie mmeinanamisha vichwa wanachama wenu wanateketea. Hii greenguard ya ccm ni pure INTEREHAMWE ilioendesha mauaji Rwanda.
 
Chadema watambue diplomacy bila mipaka ni ujinga wakiendelea hivi bila kuchukua hatua kwa matukio makubwa kama haya mwisho chama kitaonekana ni cha kipuuzi na watu hawachelewi kukipuuza.
 
Mimi nadhani wanazengo wanayaona haya, taratibu hasira zinatuingia wala siyo suala ya muda ni suala la ignition system ndogo hao wanaojiita wanatumiliki tutapambana nao hadi kieleweke.
 
Makubwa zaidi yanakuja wananchi amkeni!

Mkuu hizi ndizo anga zako,
Waweza kupitisha kauchunguzi kidogo kulibaini kiundani hili kundi linalofanya mauaji?
Najua hutashindwa kaka!!
 
Ndugu hii habari ni nyeti sana ungetupa source yake ingekuwa ni bora zaidi.
 
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi~AMEN.
 
"The road to devastation begins long before war does: it begins when nations and groups equip themselves for war. Preparing for war ensures that it will happen (though it may not be the war that's being prepared for). You might as well try preventing a forest fire by pouring petrol over the trees and then standing by with a box of matches."
 
Mungu Awapumzishe Kwa Amani Mama Zetu Hao. Uchungu Wa Mama Aujuaye Mtoto, Watoto Wa Tanzania Wanalia.
 
Kuna udhibitisho gani kuwa ni ccm, kwani hayo ndio mauaji ya kwanza kutokea Igunga?, au kwakuwa yametokea wakati wa uchaguzi yanahusishwa na siasa?
 
Back
Top Bottom