Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

Nakupa elimu ndogo kabisa, Ni baba yenu ndie alikuwa anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
Unaweza kuwa sahihi ila ngoja tuendelee na story kwanza ikiisha you can judge
 
Funguka zaidi mkuu, magunu huya pitii peke yako.
Hata Maghayo The Mongo Finest wiki iliyopita alipatia magumu kiasi cha kuchanganyikiwa kabisa mpaka kuleta Uzi kiasi ambacho watu wakajua atajinyonga , bange zake zote ziligonga mwamba katika kumsaidia sasa hivi amerudi tena Jf akiwa Hana mizuka yake kama ya mwanzo.
 
Huu msemo upo kwa zile familia ambazo baba alikimbia majukumu.
Baba kukimbia majukumu nalo sio suala la kuhitimisha haraka, huenda kuna sababu kama

1. Watoto sio wa kwake
2. Mama anamzuia baba asiwe karibu na watoto huku akiaminisha watoto uongo
3. Mama alikimbia na watoto na baba bila mawasiliano
 
Nakupa elimu ndogo kabisa, Ni baba yenu ndie alikuwa anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
Kwanini baba asiwape mwenyewe hivyo vitu kama nguo au aseme nitampa mama yenu atawapa? Mambo hayo ndio wababa hua mnakosea halafu baadae watoto wakilipa fadhila kwa mama mnaumia.
 
Nakupa elimu ndogo kabisa, Ni baba yenu ndie alikuwa anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
Na huu ndio ukweli ambao watoto hawawezi elewa Hadi uwe na familia
 
Hata Maghayo The Mongo Finest wiki iliyopita alipatia magumu kiasi cha kuchanganyikiwa kabisa mpaka kuleta Uzi kiasi ambacho watu wakajua atajinyonga , bange zake zote ziligonga mwamba katika kumsaidia sasa hivi amerudi tena Jf akiwa Hana mizuka yake kama ya mwanzo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom