Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 16,215
- 24,998
Hawa ndo walihimizana kwenda airport kuwapokeaWasiumie sana,,jana nimeona kule Arusha wamewanunulia kombe la ROBO FAINALI watakabidhiwa siku ileee..
Hawa ndo walihimizana kwenda airport kuwapokeaWasiumie sana,,jana nimeona kule Arusha wamewanunulia kombe la ROBO FAINALI watakabidhiwa siku ileee..
Bongo kujiudhuru ni ngumuHakuna jipya. Hao viongozi watamleta Manzoki au Adebayor kwenye mkutano wa wanachama halafu watashangiliwa.
- Kocha wa Wydad katimuliwa kwa sababu tu kaingia nusu fainali kwa taabu sana
- Kiongozi wa Raja kajiuzulu kwa sababu wameshindwa kuingia nusu fainali.
Kwa Simba kufanya vibaya msimu wa pili mfululizo bila kombe lolote nani kajiuzulu/kawajibika mpaka sasa?
Jf wanaiona kamaWapitie na humu tuwazomee! Maana hakuna walichovuna kwenye huu msimu.
Wa robo fainaliMashujaaaa wamerejeaaa
Malizia... Champion LeagueWa robo fainali
Mbona hilo ni trela tu