awaken mind
New Member
- Sep 21, 2026
- 1
- 0
Maisha manake mambo yanayo isha..kuna jambo kuhusu sisi hatufii Ila kuna sababu zinazomaliza mwili nguvu na hapo ndio kimwili watasema umekufa lakini sisi hatufi boss..na inapofikia mwili kuishiwa nguvu mwili wako utawekwa sehemu waitayo kabuli na we kuendelea kuwapo na wakati huo utaitwa mzimu na hauna mwisho wakati ukiwa mzimu utakuwa na uwezo wa kuoperate kutegemea na upande unao uchagua maana utakuwa umeungana na uhai ambapo huo uhai wengine ndo wanaita Mungu