Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Aliyetuumba ndiye mwenye majibu

Kwenye ecosystems, binadamu hatuna tofauti na viumbe vingine

Jambo la kuzingatia, ukipata nafasi furahia kila sekunde inayopotea

Na jizuie kukutana na makwazo, maana havichelewi kukupanua moyo na ukaondoka na miaka 30

Kwa Kila jambo, linalokukabili kama challenge sema "all is well"

Karibu Dodoma Wine tupunguze mawazo ya kuwaza kwanini tupo Duniani🍷
 
Hilo swali wamelitafakaribwatu wengi tangu kuimbwa kwa ulimwengu, wanafalsafa wengi wamehamasika nalo. dini nazo zikaingilia iia bado kwa wengi ni kitendawili. Soma kitabu cha Ayubu katika biblia uone majibu yake, huenda yakakuangazia kidogo
 
Hii Sheria ya Assisted Dying mimi naona bora iwepo pia Tanzania. Watu wanateseka kwa miaka na miaka na kuna uhakika kuwa hawatapona ila ndiyo hivyo.
Duuh ni kweli kabisa, itawasaidia wengi
 
Kuna mambo hatutakiwi kuyafikiria.
Ebu fikiria kuna mtu kahukumiwa kuuawa, kachomwa sindano ya sumu ili afe, baadae wanamtibu apone!
Eti imeshindikana kufa. Sasa kwanini wanamtibu si wamwache afe??
Duuh!!
 
Hakika. Mkuu..

Mimi pia ni mapenzi wa wine ila niko mjini Dar na maisha yamenichapa hatari

Je, ni naweza kukupa taarifa zangu ili uweze kunitumia wine na mimi nipate kupoza maumivu haya ya existential crisis??
 
Hakika. Mkuu..

Mimi pia ni mapenzi wa wine ila niko mjini Dar na maisha yamenichapa hatari

Je, ni naweza kukupa taarifa zangu ili uweze kunitumia wine na mimi nipate kupoza maumivu haya ya existential crisis??
Ndiyo hivyo Mkuu 🤗

Kuhusu wine 🍷 utapata wakati mwingine Mkuu
 
Ukipata ya baridi na joto hili, inakuwa inashuka taratibu huku tukisahau mambo ya mwisho wa Dunia na mambo ya kufa kufa 🤗
Sasa una kunywa peke yako tu mzee mwenzangu?

Share upendo na wengine maisha mafupi haya
 
Endelea kuomba Mungu maisha matamu hata kama kuna changamoto kuish tu duniani n bahati tosha imagine ungekua hujawah kupita hapa duniani vitu vilivyomo ungevionea wapi?
 
Miaka 80-90 na unaondoka, ni mda mfupi sana, huna la maana la kufurahia. Bora nyakati za zamani kina Methusela waliishi 900+ yrs.
 
Maisha hayawahi wala hayatokuwa na maana..
Kila mtu anajitafutia maana kivyake...
Wale wenye influence kubwa ndo wamewatengenezea wenzao "maana ya maisha"...
Unaambiwa pigania ndoto yako,, then what?
Unaambiwa uache alama duniani, ikusaidie nini na wapi?
Ndoto na mapigano ya binadamu ndo jela yake mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…