Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
1620289625392.png

Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje.

Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law.

Usipomudu kufanya kazi na kujinunulia chakula ulipelekwa kwenye nyumba za masikini. Huko ulitunzwa kama mfungwa.
 
Back
Top Bottom