Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 249
- 832
Habari,
Jamii unatakiwa iondoe nadharua ya kuwa taka vijana watoke kwenye ma kazi yao waliyoyazoea kwa kigezo cha kutoka kwenda kutafuta maisha.
Jamii ya sasa iliyogubikwa na utandawazi wa hali ya juu kuna changamoto nyingi sana zinazowakabiri vijana kama:
Ulevi na madawa ya kulevya
Vitendo vya kishoga na usagaji
Ndoa na nguvu za kiume
Mimba zisizotarajiwa.
Uchumi mbovu.
Magonjwa ya akili.
Magonjwa ya zinaa.
Kiukweli hivi vyote vinawakumba vijana kwa sasa, nadhani kuwafukuza vijana na kuwaacha waende wakajitegemee wenyewe pasipo na uhakika wa kipato kupitia kazi au biashara na kipaji.
Kinapelekea vijana wengi waanze kujihusisha kwenye masuala ya ovyo sana na mwisho was siku jamii inakuja kutambua muda umeenda.
Rai yangu naomba wazazi wawajenge vijana wanaokaa nao katika kuwategeneza kwenye kipato chao binafsi kama kuwafungulia bias hara au kilimo, kuliko kuwaacha kabisa na kutaka watoke waende mbali na makazi yao walioyazoea na kwenda mbali huko pasipo kjjiandaa.
Tunakabiliwa na changamoto ya
Ajira
Mifumo mibovu ya watu wanaoamua kuwa wafanyabiashara wadogo.
Hivyo NAKATAA USEMI WA KUSEMA ILI UFANIKIWE LAZIMA UTOKE KATIKA MAKAZI YAKO ULIYOYAZOEA NA KWENDA MBALI ILI KUTAFUTA MAISHA