Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

Ok ni vizuri, nini msimamo wako sasa kuhusu mumeo wa mwanzo?
Nafikiria nirudi,lakini pia nafikiria aliwakwaza sana wazazi wangu na hawataki kusikia namrudia, na pia nafikiria jinsi gani nitashangaza ulimwengu na pia nafikiria ni jinsi gani nitamwambia huyu boyfriend kuwa simtaki tena nitamuumiza kwa maana ana mategemeo makubwa sana kutoka kwangu. Si unajue yale ya i love you so much, i will marry you.
 
sister noella, pole kwanza kwa matatizo yaliyokutokea!! wanadamu wanabadilika kutokana na vishawishi na mambo mengine mengi yanayowazunguka..

suala lako naona kama mmelifanya nini wawili tu bila kuwashirikisha wazazi wenu wa pande mbili ama ndugu wowote wa heshima ambao wangeweza kuleta suluhu...

je ulishawahi kuchunguza sababu hasa iliyomfanya mwanaume wako kubadilika ghafla na kuwa na tabia za ajabu ajabu?

tafadhali fanya tafiti ndogo tu kuona kama kuna mababdiliko ambayo mumeo anayapitia katika kipindi kifupi ambacho amekuwa wa tofauti...
 
Last edited by a moderator:
Pole dada. Mara nyingi hutokea watu ambao wanaishi pamoja (eitha kwa kuoana ama la) kwa muda mrefu huchokana. Ni ndoa tu ndio hufanya watu hao wakavumiliana. Lakini mkiwa hamjaoana ikishafikia hatua hii ni rahisi mno kuachana.

Nakushauri uwe mpole na akishajirudi mlazimishe mbarki hiyo ndoa utaishi kwa amani sana dada yangu.
 
Subiri, noella..kwa hiyo wewe na baba mtoto msharudiana????
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni kuvumiliana, inavyoonekana mumeo hana tatizo kubwa, ukimwelewesha unavyopenda muishi malengo ya familia (long term plans)anajirudi coz naona kama anauchugu sana na mwanae, ila yawezekana we unauhakika wa maisha ndo maana unaamua kama vp vp tu.
 
pole ndugu yangu kwa yaliyo kusibu kama anavumilika nakusauri rudiana nae kuliko kuwaza kupata mwingine coz nae atakua na matatz makubwa kuliko uyo unae mkimbia afu tena utamdhurumu mwanao haki ya upendo wako kwake unless kaa lea huyo mwanao familia nying mbona zinalea mtoto mmoja
 
pole sana noela ndoa ni mtihani ambao unahtaji uvumilivu mkubwa,tazama na tafakari vema yawezekana ww ndo tatizo,
 
Subiri, noella..kwa hiyo wewe na baba mtoto msharudiana????
bado lakini ninawaza hivyo, tatizo wazazi hawanielewi kwa maana alionyesha utovu wa nidhamu sana wanasema nitaenda kuteseka. yeye mwenyewe anataka turudiane hayuko tayari kuoa asipopenda he says.
 
bado lakini ninawaza hivyo, tatizo wazazi hawanielewi kwa maana alionyesha utovu wa nidhamu sana wanasema nitaenda kuteseka. yeye mwenyewe anataka turudiane hayuko tayari kuoa asipopenda he says.

Na wewe unawaza nini kuhusu kurudiana nae? Am curious to know!! Tafadhali..
 
Na wewe unawaza nini kuhusu kurudiana nae? Am curious to know!! Tafadhali..
nawaza what if he hasnt changed na this time ndo aninyanyase ya funga mwaka. Nataka kurufi tumlee mtoto pamoja ila naogopa. kingine mi jamii iliyotuzunguka ilishuhudia vituko vyake vyote na ndo mana wazazi wangu hawamtaki..sijui hata nifanyeje.
 
Wewe noella, watu hawabadilikiiiiii!
dating your ex is next to insanity. Bado Tu hujamove on? Unamsumbua mwanao, keshazoea kutokuwa na Baba. Hebu jipange bwana, tafuta boifrendi umdate kwa siri mwanao asijue. Wooi!
 
Last edited by a moderator:
ni swala la muda tu utazoea na kufurahia. bora uwe single ila furaha iwepo kuliko kuwa na mtu ambaye kero kila kukicha.
 
Wewe noella, watu hawabadilikiiiiii!
dating your ex is next to insanity. Bado Tu hujamove on? Unamsumbua mwanao, keshazoea kutokuwa na Baba. Hebu jipange bwana, tafuta boifrendi umdate kwa siri mwanao asijue. Wooi!
ht.
y g
o i
u r
are
 
Last edited by a moderator:
Sisi tutakushauri ila wewe ndo mwenye maamuzi,

You are the source of ur own happiness
 
Wewe noella, watu hawabadilikiiiiii!
dating your ex is next to insanity. Bado Tu hujamove on? Unamsumbua mwanao, keshazoea kutokuwa na Baba. Hebu jipange bwana, tafuta boifrendi umdate kwa siri mwanao asijue. Wooi!

Ushauri wa kijinga huu, labda wewe ndio huwezi kubadilika.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom