Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

Yaani kwa mfano, hivi naweza kubadili msimamo wako kuwa huu ni ushauri wa kijinga? na kwa sababu ni mtazamo tofauti na ulio nao wewe ( kwa mantiki hii wewe ndio kipimo cha ushauri wenye akili ), basi kila ushauri huu utolewapo utakuwa sio sahihi?

Halafu kama mimi ni mkeo nitegemee kuna siku utabadilika na kukubali kutofautiana kistaarabu? si nitakuwa mjinga jumla jumla? hahahaha
Ushauri wa kijinga huu, labda wewe ndio huwezi kubadilika.
 
Back
Top Bottom