Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

this is one sided story
naogopa kuhukumu bila kusikia upande mwingine
hujatuambia tabia zako wewe labda za kibabe babe,msema ovyo nk
hujatuambia kama unamtreat vipi huyo alokuwa mumeo
mwanaume hawezi kuwa mkorofi,mkali kama mwanammke
anajua wajibu wake na anauchunga vema ulimi wake kuongea ya busara
lakini kama unamnyanyasa kwa maneno na matendo unategemea awe mpole na tabia nzuri?
i think kwa wanawake wa type yako hamwezi kuishi ktk ndoa
na sio kila mwanamke ni wa kuolewa. jiangalie kwanza wewe.
jadilini tofauti zenu kubalianeni kubadilika leeni mtoto pamoja
kila jambo hutokea lkn lina suluhisho.
 
Lokissa,

Hapo kwenye bold naona umeamua kuandika kana kwamba unanifahamu.

Mimi sina mdomo wa kujibizana, ni mtu cool na sipendi maneno na mtu.
Kwa mfano nimekuja kwako na mtoto asubuhi, nimeandaa breakfast,mmekunywa wote,wewe ukataka kuongeza mkate badala ya kuniambia kwa utaratibu ukanambia tena kwa kibesi "sasa ndo umefanya nini umeleta mikate haitoshi".na maneni hayo umeyasema mbele ya mjomba wako.sikukujibu nikaleta unachotaka tukaendelea.Baada ya hapo ukatoka wewe na huyo mjombayo huku nyuma mie nakukuruka na mwana na kupika pia,mkarudi saa kumi na moja jioni,kwa kuwa mida ya lunch ilishapita na ulinambia uko kwa cousin yako nikakuuliza kama unakula ukasema "we unadhanije?kwani nimekula wapi"? na mie taratibu naenda andaa chakula namkaribisha mjomba wako wewe uko chumbani,mjomba anasema "mbona tumeshakula".mi nabaki na mshangao. wewe unatoka chumbani unakuja jikoni kuangalia chakula kilichobaki tena bila haya unasema "hakikisha unapika cha jioni kabla hujaondoka". Eboo hapo mie ukorofi wangu uko wapi jamani.na hayo ndo maisha ninayoishi na huyu kiumbe kwa miaka mitatu,mimi sina moyo wa chuma jamani haa
 
pole Noela
ndio binadamu tulivo hatulingani kitabia
unachopaswa ni kumwelewa mwenzio na kuignore baadhi ya matendo au maneno yake
tabia ya mtu ni ngumu kuchange inategemea na malezi aliopata pia
mimi ni baba na nina watoto najaribu kufikiria mtoto kulelewa na mzazi mmoja pekee
mara nyingi huwaharibu kisaikolojia hata makuzi yake yanakuwa sio mazuri na darasani hatakuwa mzuri rudianeni na mwenzio jiwekeeni terms na mjiulize kwanini mlikaa mda mrefu hivo bila kufunga ndoa
mwombeni na Mungu awape amani,vunjeni minyonyoro ya shetani iliyowazunguka
na jueni upendo huvumilia yote, upendo ni sadaka.
ukiona basi maji yamezidi unga ndio hapo uamue vinginevyo ila kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
jina lako noella manake ni xmass kwa hivo uwe mwanga kwa mwenzio
Lokissa,

Hapo kwenye bold naona umeamua kuandika kana kwamba unanifahamu.

Mimi sina mdomo wa kujibizana, ni mtu cool na sipendi maneno na mtu.
Kwa mfano nimekuja kwako na mtoto asubuhi, nimeandaa breakfast,mmekunywa wote,wewe ukataka kuongeza mkate badala ya kuniambia kwa utaratibu ukanambia tena kwa kibesi "sasa ndo umefanya nini umeleta mikate haitoshi".na maneni hayo umeyasema mbele ya mjomba wako.sikukujibu nikaleta unachotaka tukaendelea.Baada ya hapo ukatoka wewe na huyo mjombayo huku nyuma mie nakukuruka na mwana na kupika pia,mkarudi saa kumi na moja jioni,kwa kuwa mida ya lunch ilishapita na ulinambia uko kwa cousin yako nikakuuliza kama unakula ukasema "we unadhanije?kwani nimekula wapi"? na mie taratibu naenda andaa chakula namkaribisha mjomba wako wewe uko chumbani,mjomba anasema "mbona tumeshakula".mi nabaki na mshangao. wewe unatoka chumbani unakuja jikoni kuangalia chakula kilichobaki tena bila haya unasema "hakikisha unapika cha jioni kabla hujaondoka". Eboo hapo mie ukorofi wangu uko wapi jamani.na hayo ndo maisha ninayoishi na huyu kiumbe kwa miaka mitatu,mimi sina moyo wa chuma jamani haa
 
Kwenye maisha ya ndoa kuna milima na mabonde, tena utakutana na ambayo hata hujui pa kuanzia! Mimi nasemaga hivi huwezi pata mume/mke mwema kama hujamuomba MUNGU maana yeye ndo anajua yupi wako? Wengi tunatazama kwa macho ya kibinaadamu na kutumia akili na hisia zetu wenyewe kuwapata wenza wa maisha. Cha kukushauri sali sana katika hili tena ikiwezekana funga na kuomba halafu uombe MUNGU akuonyeshe mume wako, Kama ndiye huyo basi kuna suluhu itapatikana na mambo yatabadilika. Amen.....!!!!
 
Pole sana dear ila mrudie mungu wako na atakuongoza unachotakiwa kufanya ni kuamini kwamba you can raise your kid without him give yourself positive hope and you will make it . I passed the same path and i believe you can make it . Mtoto ndio atakusumbua ila atazoea tu with time.

Mungu akufanyie wepesi uwe mvumilivu na akujaalie upate mume wa kheri atakaekupenda wewe na mwanao.
 
Binafsi nimeshangaa sana kutaka kuvunja ndoa yako kwa mambo madogo kiasi hiki. Nisamehe, pengine ni kutokana na uzoefu wangu ktk mambo haya ndo maana naona ya kwako ni madogo sana yaani. Najua unaumia kama binadamu lakini solution si kuvunja ndoa dadangu! Tafuta chanzo ndo ukifanyie kazi!!
 
hamna shida ya kuishi sigle mother endapo una uwezo wa kutafuta. binafsi nina mabint wa2 fist yupo fm4 na last std3 wanaenjoy life kama kawaida na wanafanya vizuri shuleni. so nina uzoefu wa miaka 15 na life inasonga mbele. usiogope dunia ndivyo ilivyo take it easy

hongera my dia
 
Hakikisha tu unakua na malengo yako binafsi na uyasimamie..maisha hayatakua marahisi sana ila msimamo wako na how much umedhamiria kufanikisha malengo ndio vitakuokoa. Usije ukaingia kwenye relationship ingine ili kupata mtu wa kukusaidia malezi, ingia kwenye relationship ambayo itakupa amani ya moyo. Watoto wako wawe ndio kipau mbele na wawe sababu ya wewe kupambana zaidi, wanawake mnaweza mkiamua bcoz I have seen wonders done by women na sio kwa kuwezeshwa mana kuwezeshwa ni idea ya kikandamizaji in some ways. Kua mwanamke unae amini kwamba unaweza na kila kitu kitaenda vizuri. USIKATE TAMAA UKAAMUA KUCHAGUA NJIA RAHISI BCOZ UTAKUA HUJASOLVE ANYTHING.
 
Ndoa haivunjiki? hata itangazwe ndoa mwanamke kama huyu will end up in the same situation!!! ni design ya wale wanawake wa beijing '8'tunaweza" "naweza type"

rate ya single mothers inakua kwa sababu wadada wamekuwa liberated wanasahau nini maana ya mwanaume

umecho ongea mkuu ni kweli kabisa.
 
this is one sided story
naogopa kuhukumu bila kusikia upande mwingine
hujatuambia tabia zako wewe labda za kibabe babe,msema ovyo nk
hujatuambia kama unamtreat vipi huyo alokuwa mumeo
mwanaume hawezi kuwa mkorofi,mkali kama mwanammke
anajua wajibu wake na anauchunga vema ulimi wake kuongea ya busara
lakini kama unamnyanyasa kwa maneno na matendo unategemea awe mpole na tabia nzuri?
i think kwa wanawake wa type yako hamwezi kuishi ktk ndoa
na sio kila mwanamke ni wa kuolewa. jiangalie kwanza wewe.
jadilini tofauti zenu kubalianeni kubadilika leeni mtoto pamoja
kila jambo hutokea lkn lina suluhisho.

Umeongea point ila jua hivi..!!! Mwanamke au Mwanaume akiendekeza mahusiano ya nje lazima awe na roho ya kikatili kwa yule ambaye ni mtu wake.. Na hata afanyiwe jema lipi ataona sio jema bali yule wa nje ndo yupo right kwa kila kitu.. Kwa huu mkasa huyu dada asingesema mumew ni Mnzinzi na Mlevi basi lazma na yey angeonekana ana mapungufu sehemu.. Kumbuka hamna anayeweza kutumikia mabwana wawil, lazima mmoja atapendelewa tu, Na kipya ndo kinyemi.
 
Lokissa,

Hapo kwenye bold naona umeamua kuandika kana kwamba unanifahamu.

Mimi sina mdomo wa kujibizana, ni mtu cool na sipendi maneno na mtu.
Kwa mfano nimekuja kwako na mtoto asubuhi, nimeandaa breakfast,mmekunywa wote,wewe ukataka kuongeza mkate badala ya kuniambia kwa utaratibu ukanambia tena kwa kibesi "sasa ndo umefanya nini umeleta mikate haitoshi".na maneni hayo umeyasema mbele ya mjomba wako.sikukujibu nikaleta unachotaka tukaendelea.Baada ya hapo ukatoka wewe na huyo mjombayo huku nyuma mie nakukuruka na mwana na kupika pia,mkarudi saa kumi na moja jioni,kwa kuwa mida ya lunch ilishapita na ulinambia uko kwa cousin yako nikakuuliza kama unakula ukasema "we unadhanije?kwani nimekula wapi"? na mie taratibu naenda andaa chakula namkaribisha mjomba wako wewe uko chumbani,mjomba anasema "mbona tumeshakula".mi nabaki na mshangao. wewe unatoka chumbani unakuja jikoni kuangalia chakula kilichobaki tena bila haya unasema "hakikisha unapika cha jioni kabla hujaondoka". Eboo hapo mie ukorofi wangu uko wapi jamani.na hayo ndo maisha ninayoishi na huyu kiumbe kwa miaka mitatu,mimi sina moyo wa chuma jamani haa

My dia move on na maisha yako kabisaaaa.. Huyo hafai kabisa, Mwanaume anayeendekeza umalaya sio wa kumvumilia hata kdogo, Atakuletea magonjwa bure ya zinaa ujifie umuache mtoto wako.
Wew kwanza badilisha hiyo line yako na namba wape watu wako wa muhimu. Hata akikucall or kutext na kuona sms hazipo delivered atajiona mjinga.,unaposoma sms zake na kukupa update za maisha yake ya sas hiv itakuumiza zaidi na zaidi, Wew mpotezee kabisa ila ipo siku atajiona ni mjinga sana.
 
Pole sana,utayashinda majaribu..mifano ipo mingi unaweza kulazimisha kuishi na huyo jamaa mwisho wa siku akakudhuru
Mi nasema umechukua uamuzi wa Busara na ni mfano wa kuigwa!sasa milango ya mwanaume bora ipo karibu.
just relax!
 
haya mambo ya kuachana ukitaka upate nguvu bila kugeuka nyuma we imagine amekufa!ungemfufua?haya sasa imagine amekufa,songa mbele usigeuke nyuma

challenge ya kwanza ya usingle mother-utamuambia nini mtoto?hapo inahitajika busara kubwa,wakati mwingine njia bora ni kutengeneza njia nyingine ya maisha mfano ulaya watu huhama mji au hata nchi,unaweza ukatafuta kazi kigali au nairobi mtoto akikuuliza unamwambia babako yuko dar,lakini pia mazingira mapya yatakusahaulisha machungu ya jamaa

challenge ya pili ya usingle mother ni pale utakapokuwa na uhitaji wa huduma za tendo la ndoa(wewe kwa vile haupo ktk ndoa tuite tendo la uzinzi),wengi huishia kubadilisha wanaume kama nguo,ukibadilisha wanaume hata 3 tu ktk kipindi cha miaka 10 na binti yako akawaona wote tayari ushaharibu binti

challenge ya 3 mkishatengana kwa ukamilifu ndipo utakapoona gap lake na kuyamisi mazuri yake,kwa sasa hutayaona sana,ndio inavyokuwa...mfano tayari mzigo wa kusomesha mwenyewe ushauona unavyokunyemelea

faida......faida ni nyingi,uhuru zaidi,hakuna kerokero za maneno,hakuna wa kukucontrol,mwili wako ukitaka leo kumpa kimbweka haya kesho mandingo twende,keshokutwa mzabzab hamna shida,full uhuru

umeshachagua kumuacha,nami nakuambia songa mbele lakini jiandae na changamoto hizo!alamsiki
 
Asante BD,

Kuhusu kumuhudumia mtoto nitaweza bila kumpeleka ustawi wa jamii,ingawaje itabidi tu nimuhamishe shule mana aliyopo kwa sasa ni expensive kidogo sitoweza kuafford peke yangu. Nitajitahidi kumlea malezi yaliyo bora ila ninapata mawazo mengi sana baadae nitamjibu nini akiniuliza what happened between me and teh daddy, she is only 3 yrs now ila anampenda sana baba yake,tangu nifanye maamuzi haya sasa ni wiki mbili na nimekuwa nikimdanganyadanganya tu sitaki amchukie baba yake. na amekuwa akinitext kuwa ameanza relationship nyingine na blabla kibao mi sijamjibu.
Naomba Mungu anisaidie kwenye hili.Mapenzi yanauma jamani asikwambie mtu,mmh.

u'l make it darling,i am a single mother and may child is 1/6 yr bt i came 2 stand up without hm,i broke up with hm wen i was 4 months preg due 2 mambo yake ya kijinga yaloptliza,n bad enough alikuwa amenichumbia kbs bt we stl didn't make it,pray so hard,n try hard 2 b the best mama 2 yo' child
 
Haya noella tupe fidback mmefikia wapi???

Lokissa una kumbukumbu sana.

Tangu niandike post hii ni mwaka mmoja na miezi tisa sasa. Hapo katikati nilipata mwanaume sijui niseme ndo boyfriend lakini nimekuwa ni mwenye furaha na amani kwa muda mchache lakini mmh hayo mapungufu yake ni ya kufunga mwaka yaani ya kutufanya tuishi maisha ya ufukara kupindukia. loh!nimeingia choo cha kiume naona.Kwa kipindi chote hicho baba mtoto bado ananifwata turudiane, na kama wiki mbili zilizopita karudi kuniambia anataka kwenda kutoa mahari kwa mwanamke waliokutana mwezi mmoja sasa, kwa kuwa yuko desparate hana jinsi lakini nikisema nitamrudia atacancel process zote turudiane tumlee mtoto, ameomba radhi na kusema amejifunza na anaonyesha hivyo, ila a man can do anything to get what he wants so only God knows kama he is for real or not.

Hiyo ndo feedback Lokissa
 
Back
Top Bottom