Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,913
- 4,231
ahsante mkuu. Ni ugonjwa mbaya mno hata mim niliogopa sana ila mwisho yamenikuta.Pole sana mkuu.
Katika vitu ninaviogopa ni magonjwa ya huko chini.
Ila nmepata somo

Anayetafutwa hapa Ni business partner, Siyo mke. Huwezi kutafuta mke Muda WA jioni alafu ukajiwekea mipaka ambayo inatia dosari maana ya ndoa (Mume + Mke).Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana zaidi.
KARIBU SANA 🙏 😘
Pole sana mkuu, ndo ukubwa wenyewe huo..1. dawa tumetumia mkuu tulipgwa sindano na dawa tukapewa(doxy, cpro na ingne jina nmesahau)
2. usaha unatoka mda wote nikiangalia kichwa cha penis upo pia bukuta nakuta imechafuka usaha.
Basi kwishaaa 😅Shindwaaaa✋🏾
papai dume mkuu auKunywa majani ya mpapai
Endelea na tiba maisha mengine yaendelee mkuu.ahsante mkuu. Ni ugonjwa mbaya mno hata mim niliogopa sana ila mwisho yamenikuta.
Ila nmepata somo
ahsante nduguPole sana.
kuwa makin mkuu, mkapime vipimo vyote tena vile vikubwa sio culture huwa havionKuna kidem ni kimalaya nataka nikivute gheto nikitoe kijijin,nmesoma hii kitu nikawaza na mie yanaenda kunitokea,niliwah kukila zaman
ahsante sana mkuu. hyo ni sindano moja? Au ntapgwa tanoPole sana mkuu, ndo ukubwa wenyewe huo..
Rx
. Azithromycin 2g start
. Injection ceftriaxone ( dilution protocol, 1g powder of ceftriaxone una dilute with 4ml Water for injection kisha unachomwa i/m start.)
sawa mkuuEndelea na tiba maisha mengine yaendelee mkuu.
Ni moja tu(start) , but ni ya kwenye misuli(matakoni) , siyo mshipa/vein.. Ila hakikisha formula niliyo kupa hapo juu inafuatwa namna ya uchanganyaji,ahsante sana mkuu. hyo ni sindano moja? Au ntapgwa tano
kuwa mpole mkuu, umeomba ushauri kubari na utan humohumo, usikasirike kwan utaonekana una IQ ndogo.Nadhani wewe hujielewi na hujui kama hujielewi. Pole sana
Sijaomba ushuari mkuu, nimeweka tangazo kwa mwanamke mwenye hizo sifa halafu mtu anakuja kuongea unnecessary issues unadhani ni sahihi?kuwa mpole mkuu, umeomba ushauri kubari na utan humohumo, usikasirike kwan utaonekana una IQ ndogo.
umeomba ushauri chambua yanayokufaa sepa kamix nayako
Choma penadur , pole sanaNi jambo jema ila hakikisha ukimpata kapime magonjwa ya zinaa yote.
Mwenzio hapa nilikua naham pia kama wew, mwez uliopita nikavuta jiko tukachukua kipmo cha VVU tukawa salama.
nikaanza kukifakamia kitumbua mda wote naotaka. wiki haikukata nikawa nakojoa mkojo wa moto na usaha pia
ila kumbe dem ana gono tena ya mwaka mzma afu dem nmemtoa kijijn, ila nmemrudisha kwao kwanza nijitibie. Unaenda kuisha mwez wa pili huu bila nafuu
sina aman hapa bdo sijapona japo had sindano nmepgwa Sion unafuu. najutaaaa
BORA PUNYETO utakua salama ila anaejua dawa msaada plz nawaza
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana
mwaka jana nilikua kama wewe mkuu lakini mpaka muda huu ninajuta hapa nilipo napanga mbinu ili kuutafuta huo upwekeKichwa cha habari hapo juu cha husika.