Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,521
- 59,838
Muulize huyo jamaaYani unapima siku moja tu then ukikuta negative unajiaminisha kupiga kavu ?
Muulize huyo jamaaYani unapima siku moja tu then ukikuta negative unajiaminisha kupiga kavu ?
mamawatano simtakiAchana na wakina Seran hebu mtext mamawatano
Sina kigezo cha shape. Binadamu wanaumbwa na Mungu hivyo siwezi mkosoa Mungu kwa kudai shape.Kaka una vigezo vya shape ? Kuna ambaye namfahamu wa 1993 mchaga hana mtoto yuko serious sana anatafuta mtu, elimu ana diploma nadhani, yuko dar, kama uko dar nitakuunganisha nae labda mtaelewana
Hakuna mtu asiye na kigezo cha muonekano wa mwanamke / mwanaume anaemtaka labda tu awe na yeye amechokwa huko kitaa ,yani kajikatia tamaa bora liende tu.Sina kigezo cha shape. Binadamu wanaumbwa na Mungu hivyo siwezi mkosoa Mungu kwa kudai shape.
Kwani unaoa kwa sababu gani? Hujui kupika?ASANTE SANA 🙏 UBARIKIWE NA MUNGU
Pole sana mkuu.Ata yey nmemtibu tena kwa sindano tano, hadi za kienyej dawa hazijafua dafu.
sema nmemrudisha ameniuz kusema alijua anaumwa na alijua mim haitanidhuru na aliogopa kusema akijua ntamwacha.
nikimwangalia yey anaenjoy afu mim napata maumivu asee napata hasira(wanawake wao hawanaga darir mbaya).
aniache nijitibie kwanza daah
Huu ni ukweli mchungu kijana ni upwiru tu hi ya kutaja bwana yesu sijui Mungu ni zuga tuKwani unaoa kwa sababu gani? Hujui kupika? Mbona umeishi kipindi kirefu mpaka kujijua una upweke??
Au ulipata upweke baada tu ya kuzaliwa?
Nyege ndio zinakusumbua.
Basi acha Seran akunyooshe bwashee 😅mamawatano simtaki
Anataka partner wa biashara na sio mpenzi huyuDuhh hiyo video nimeisikiliza kwahiyo mwanaume mwenye vision kubwa ndio hana muda wa mapenzi? Kwa sababu tu anawaza pesa nyingi, Na hiyo kujipendekeza ili ufit kwenye position maana yake nini? Duhh kazi kweli.. acha tu hawo strong women wanaokuwa mayatima waje sio kazi ndogo😅 matokeo yake akiziba mtu hilo pengo unashikwa ugoni🙆🏽♀️
Mnajua kuzibia wenzenu rizik, wivu tu😆Achana na wakina Seran hebu mtext mamawatano
Sasa mke na bachelor degree wapi na wapi?...kwani anatafuta kazi?...kwa hiyo aje na CV.....Hutoboi wewe kwenye ndoa kwa hiyo stailiKichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana zaidi.
KARIBU SANA 🙏 😘
Sisi ni wadau wa mada tuMnajua kuzibia wenzenu rizik, wivu tu😆
Aendelee kusaka kuna great thinker wa kike humu atapata tu binafsi aina hii siwezi!Anataka partner wa biashara na sio mpenzi huyu
Nakufuata hukohuko aiseeLeo kanalala kwao mimi nakesha bar tu
Kunywa majani ya mpapainimejikwaa jaman niokoen nahs ntakosa kizaz gono halisikii dawa wala sindano kabxa
Mitungi ni mkombozi kwenye mambo kama hayaLeo kanalala kwao mimi nakesha bar tu