tumetibiwa ila ngoma ni ngumu, haitoki na hatujawah shilik tendo tangu tuanze doz mwez sasa ilaBora ungebaki naye mkatibiwa wote.
We niletee niichape kwanza halaf tujadili unaenda kuishi wapiUmenivunjia ndoa yangu wewe na huyo kijana mpya anataka cv nakwambia utakuta mabegi yangu huko kwako😂
wewe kama huna hiyo bachelor degree usidhani n wengine hawana kama wewe!Sasa mke na bachelor degree wapi na wapi?...kwani anatafuta kazi?...kwa hiyo aje na CV.....Hutoboi wewe kwenye ndoa kwa hiyo staili
Pole sana.tumetibiwa ila ngoma ni ngumu, haitoki na hatujawah shilik tendo tangu tuanze doz mwez sasa ila
We kama ni hivyo nikome aisee🙆🏽♀️We niletee niichape kwanza halaf tujadili unaenda kuishi wapi
Njoo haraka kabla pharmacy zijafungwa tumeshauliwa tupime kwanza 😅
Kama huna elimu au una elimu ya hapa na pale basii kaa pembeni bwana usisumbue watuSasa mke na elimu vinahusiana nini, Au Ndo utoto wenyewe..?? 🤔 🤔
Nasikitika sana wewe kuweka kigezo cha ELIMUKichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana zaidi.
KARIBU SANA 🙏 😘
1. dawa tumetumia mkuu tulipgwa sindano na dawa tukapewa(doxy, cpro na ingne jina nmesahau)Ngoja nikutibu mkuu,
1. Kwanza umetumia dani hadi sasa,
2. Huo usaha unatoka kwa mtindo upi??
- ukiamka asubuhi, au mda ya mchana unakuta usaha upo kichwani cha penis ??
Au
- Mpaka uminye kichwa cha penis ndo usaha utoke??
Hasira za nini unataka niweke mipango mbele za watu turogwe hebu njoo tuongelee chumbaniWe kama ni hivyo nikome aisee🙆🏽♀️
sawa mkuutulia utapata dawa Dr am 4 real PhD this is a serious case it needs urgently treatment can you do some favor
Hata sisumbui watu, ila naona vile tu ulivyo kuwa huna maono kuhusu family. ( kati ya vitu ambavyo havina msaada kwenye ndoa ni elimu)Kama huna elimu au una elimu ya hapa na pale basii kaa pembeni bwana usisumbue watu
nilienda hosptal ya wilaya, wacha ntajaribu private kubwaGino linatibika kirahisi sana mbona, nenda Hospital nzuri acha kuwa cheap
Kuna kidem ni kimalaya nataka nikivute gheto nikitoe kijijin,nmesoma hii kitu nikawaza na mie yanaenda kunitokea,niliwah kukila zamanNi jambo jema ila hakikisha ukimpata kapime magonjwa ya zinaa yote.
Mwenzio hapa nilikua naham pia kama wew, mwez uliopita nikavuta jiko tukachukua kipmo cha VVU tukawa salama.
nikaanza kukifakamia kitumbua mda wote naotaka. wiki haikukata nikawa nakojoa mkojo wa moto na usaha pia
ila kumbe dem ana gono tena ya mwaka mzma afu dem nmemtoa kijijn, ila nmemrudisha kwao kwanza nijitibie. Unaenda kuisha mwez wa pili huu bila nafuu
sina aman hapa bdo sijapona japo had sindano nmepgwa Sion unafuu. najutaaaa
BORA PUNYETO utakua salama ila anaejua dawa msaada plz nawaza
We kwani huwezi kukaa namm bila kutenda dhambi, mi sitaki hayo mkuu😂Hasira za nini unataka niweke mipango mbele za watu turogwe hebu njoo tuongelee chumbani
Antibayotik nying zmekua kinzan na bacteria.Antibiotics nyingi sasa hivi zinazingua kinouma , au inawezekana una magonjwa mengi ya zinaa bila wewe kujua yanafanya ugonjwa unakuwa sugu zaidi.
Ulipima HIV lakini?
Dhambi gani 😆We kwani huwezi kukaa namm bila kutenda dhambi, mi sitaki hayo mkuu😂
Shindwaaaa✋🏾Dhambi gani 😆