nishamaliza tangu 2014Mkuu kama bado unasoma bora ukamaliza kwanza. Kuchanganya kitabu na ndoa inahitaji mtu mwenye utulivu wa nafsi, akili na maono. Unaweza jikuta unaingiza sap 3-4 per semister
nishamaliza tangu 2014Mkuu kama bado unasoma bora ukamaliza kwanza. Kuchanganya kitabu na ndoa inahitaji mtu mwenye utulivu wa nafsi, akili na maono. Unaweza jikuta unaingiza sap 3-4 per semister
YamenikutaBachela hakikisha hukosi mkate ndani hii ni kinga dhidi ya njaa na uvivu
Hapo sasaTena ukishikwa na ugonjwa usiku wamanane halafu huna msaada karibu hapo ndipo unapotamani hata yule Mwanamke unayemkataaga angekuwa Mke wako,angekusaidia!
Chai na parachichi,aisee nimechekaDaah kuna siku nimerudi geto sa kumi na moja jioni nimechoka kinoma halafu vyombo vichafu nikasema ngoja nijilaze kidogo walau kanusu saa. Kilichotokea nimeshtuka saa sita usiku mvua inanyesha sasa hapo ndio naisikia njaa yenyewe na usingizi sina.
Nilichukua sufuria la kuchemshia maji nikachemsha chai nikala na parachichi. Maana usiku kuanza kuhangaika na mavyombo jau sana. Hapo ndio nikatambua umuhimu wa mke aseeh
Hiyo kazi mbona ngumu sana..Kama wewe ni bacheloer
Ebu tafuta kuku mbichi awe mzima sio nusu wala robo. Chukua mpake mchanganyiko wa tangawizi, pilipili ya kijani, kitunguu swaumu, binzari , chumvi na ndimu.
Kisha chukua mtie kwenye mafuta......kwaajiri ya kumdeep fry, halafu chukua vitunguu vichanga vitoe majani kisha tia humo katika mafuta bila kuvikatakata, acha vikaangike pamoja huku ukimgeuza huyo kuku ili aive fresh.
Akisha iva waweza kwenda nunua chips kavu au waweza kaanga za kwako hapo ndani ni viazi kidogo tu, then tafuta na wine yako nzuri hapo kisha weka movie yako unayopenda.
Uko wapibachelor anaehitaj kupikiwa awasiliane namimi bei tutapatan huduma ya kupikia mabachelor inapatikan hapa cc mis natafuta
Uko wapi
wew ukihitaj huduma nitafute tuyan kupika ndo tatizo kubwa sana kwangu!!unapatikana wap??kuja pm tuyajenge best...!!
hulijui [emoji15] [emoji15]rise cooker ndo nini mkuu?
nieleweshehulijui [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23]eti na vichwa vyakeHiyo kazi mbona ngumu sana..
Kwani nikipika dona langu na dagaa wa kukaanga na vichwa vyake napungukiwa nini??
Nianze kupaka mavitunguu swaumu sijui matangawizi ishiiii
Ndio maisha hayo. Sikua na namna kwa usiku uleA
Chai na parachichi,aisee nimecheka
Yes, without a lady.Bado INACHOSHA,KUNA MDA THINGS aren't moving man