hizo sasa bange mzee baba!!*Haya maisha ya ki bachelor bhana* *noma sana.*
*unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20* *kuja kushtuka kumbe umelivaa*
Bora kuvaa dekio kuliko kukiita kifo au jela*Haya maisha ya ki bachelor bhana* *noma sana.*
*unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20* *kuja kushtuka kumbe umelivaa*
Ubachala mbaya ukiugua ukazidiwa hata hivyo bora kufa kwa kukosa huduma ukiuugua kuliko kuuliwa na mke!Ngoja nishare na nyinyi kidgo
Maisha ya ubachelor mazur xana ili kuondokana na changamoto ya kulala na njaa chukua nyama nusu,maini, maharage nusu chemsha wikend weka kwenye friji nunua rise cooker na viungo jaza kwenye friji we ukirud ni mwendo wa kuunga tu i hope hii marxim itawasaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Haya maisha ya ki bachelor bhana* *noma sana.*
*unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20* *kuja kushtuka kumbe umelivaa*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipika uji wa ulezi usiku, asubuhi nikaenda gym narudi nataka tena nipike uji.
Akili inaniambia, sasa hii sufuria jana si umepikia uji? Na sasa hivi si utapikia uji? Sasa uioshe ya kazi gani?
Kilichofuatia ITV .......
Hahahaaaa ishanitokea mara kibao hii hali.Nilipika uji wa ulezi usiku, asubuhi nikaenda gym narudi nataka tena nipike uji.
Akili inaniambia, sasa hii sufuria jana si umepikia uji? Na sasa hivi si utapikia uji? Sasa uioshe ya kazi gani?
Kilichofuatia ITV .......
Kweli, pia labda mlevi.Dalili za mtu mchafu hizo.
Duuh! Hatari sana..!Bachela hakikisha hukosi mkate ndani hii ni kinga dhidi ya njaa na uvivu
Tena ukishikwa na ugonjwa usiku wamanane halafu huna msaada karibu hapo ndipo unapotamani hata yule Mwanamke unayemkataaga angekuwa Mke wako,angekusaidia!Ubachala mbaya ukiugua ukazidiwa hata hivyo bora kufa kwa kukosa huduma ukiuugua kuliko kuuliwa na mke!
KabisaaaaKweli, pia labda mlevi.
No some times unakuta akili haitak kufanya hayo mambo,automatic INAGOMAUvivu
Bado INACHOSHA,KUNA MDA THINGS aren't moving manNgoja nishare na nyinyi kidgo