Maisha ya Ubachelor sometime yanachosha

Maisha ya Ubachelor sometime yanachosha

Ukiwa bachela usiombee ununue samaki wa kukaanga, nakuhakikishia rate ya kuwapika ni ndogo sana, utaenda gengen vzr tu kununua mazaga kama nyanya, ngogwe na vitunguu ila ukishaingia geto tu akili inakutuma, hv si hapo nje panauzwa maziwa ya mtindi? Kifuatacho nahc hakuna asiejua, nyanya nilikua nagawa kwa mother house. Uzuri wa maisha ya geto huoni tofaut ya ugali mbich na ulioiva, nilishawah kupika ugali mgumu nahc kupita viwango vyote, jinsi ulivyokua mgumu na mbichi ulikua umeachana achana kana kwamba ukigeuka pemben kunawa mikono ukirud mende kaingia katkat ya ugali unakula nae bila wewe kujua kua mzee mchafu yupo ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
bachelor anaehitaj kupikiwa awasiliane namimi bei tutapatan huduma ya kupikia mabachelor inapatikan hapa cc mis natafuta
yan kupika ndo tatizo kubwa sana kwangu!!unapatikana wap??kuja pm tuyajenge best...!!
 
UHURU ni kitu nacho kipenda sana kwenye ubachelor,ile hali ya kutoulizwa na mtu unaenda wapi? Unafanya nini? Na kwa nini? Moyo wangu unasuuzika saana

Kwenye upishi ndo changamoto kubwa ila lina utatuzi wake,Kufua unarejea tu maisha ya bweni kufua weekend,kutandika kitanda si pagumu sana ila kukunja nguo na kuziweka zilipokuwa mwanzo hapo panashida sanaa,mpangilio wa chumba unategemea na ugeni ulionao kwa mwezi,ukiwa hauna ugeni sio ya lazima saana,mechi za kupimana ubavu ni moja ya raha ya ubachelor,Me naona ndoani tunazidiana kelele tu,
 
Ukiwa bachela usiombee ununue samaki wa kukaanga, nakuhakikishia rate ya kuwapika ni ndogo sana, utaenda gengen vzr tu kununua mazaga kama nyanya, ngogwe na vitunguu ila ukishaingia geto tu akili inakutuma, hv si hapo nje panauzwa maziwa ya mtindi? Kifuatacho nahc hakuna asiejua, nyanya nilikua nagawa kwa mother house. Uzuri wa maisha ya geto huoni tofaut ya ugali mbich na ulioiva, nilishawah kupika ugali mgumu nahc kupita viwango vyote, jinsi ulivyokua mgumu na mbichi ulikua umeachana achana kana kwamba ukigeuka pemben kunawa mikono ukirud mende kaingia katkat ya ugali unakula nae bila wewe kujua kua mzee mchafu yupo ndani.
Hahahahahahaaaa Umetisha sana we jamaa
Mimi hua nikipika adi vyombo vyote vichafuke na vikishaisha vyote nahamia mgahawani
Sasa kuviosha adi vianze kutoa harufu apo ndo najua kua hivi vyombo kweli vichafu
 
Ngoja nishare na nyinyi kidgo
Maisha ya ubachelor mazur xana ili kuondokana na changamoto ya kulala na njaa chukua nyama nusu,maini, maharage nusu chemsha wikend weka kwenye friji nunua rise cooker na viungo jaza kwenye friji we ukirud ni mwendo wa kuunga tu i hope hii marxim itawasaidia
rise cooker ndo nini mkuu?
 
Daah kuna siku nimerudi geto sa kumi na moja jioni nimechoka kinoma halafu vyombo vichafu nikasema ngoja nijilaze kidogo walau kanusu saa. Kilichotokea nimeshtuka saa sita usiku mvua inanyesha sasa hapo ndio naisikia njaa yenyewe na usingizi sina.

Nilichukua sufuria la kuchemshia maji nikachemsha chai nikala na parachichi. Maana usiku kuanza kuhangaika na mavyombo jau sana. Hapo ndio nikatambua umuhimu wa mke aseeh
hahhaa sio mchezo mie nshalalaga na njaa kwa style hyo
 
asante mzee baba ila kila nkisema nioe naona aaah bdo mpk mambo yakae sawa.Sometime pia kusoma nako shida unacomplicate kila ktu
Mkuu kama bado unasoma bora ukamaliza kwanza. Kuchanganya kitabu na ndoa inahitaji mtu mwenye utulivu wa nafsi, akili na maono. Unaweza jikuta unaingiza sap 3-4 per semister
 
Back
Top Bottom