Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
U bachelor bana! Yani nikimaliza kusonga ugali noloweka sufuria week nzima, ikianza kutoa harufu nabadilisha maji naweka mengine kuja kuiosha ni mpaka weekend tena iyo weekend yenyewe nikipata safari nsipokua geto kuja kuiosha tena ni mpaka week ijayo[emoji23][emoji23] ...asubui nikiamka sichomoi net ili nikirudi baadae nisipate shida kuichomeka tena ...nguo zimezagaa kila mahali utadhania apo ndani kuna mnada[emoji23][emoji23]
@Wanake mungu awabariki kwakweli
@Wanake mungu awabariki kwakweli