Maisha ya Ubachelor sometime yanachosha

Maisha ya Ubachelor sometime yanachosha

ugali kwa mboga ya mayai, chakula cha chap chap ama tambi za kuchemsha kwa juice ya azam!!maisha ya ubachela kula mboga za majani mpk dokta aseme ila angalau siku hzi mboga zinakatiwa huko huko sokoni.
 
Tulishawahi kupika mboga kwa jamaa yangu,mboga imeiva tu na gesi ikakata,tukaona isiwe shida,tukabeba mboga yetu then tukahamia kwangu nilikuwa bado nina gesi kidogo,tukapika dona yetu tukala,baada ya hapo kila mtu na njia yake
 
Kama wewe ni bacheloer

Ebu tafuta kuku mbichi awe mzima sio nusu wala robo. Chukua mpake mchanganyiko wa tangawizi, pilipili ya kijani, kitunguu swaumu, binzari , chumvi na ndimu.

Kisha chukua mtie kwenye mafuta......kwaajiri ya kumdeep fry, halafu chukua vitunguu vichanga vitoe majani kisha tia humo katika mafuta bila kuvikatakata, acha vikaangike pamoja huku ukimgeuza huyo kuku ili aive fresh.

Akisha iva waweza kwenda nunua chips kavu au waweza kaanga za kwako hapo ndani ni viazi kidogo tu, then tafuta na wine yako nzuri hapo kisha weka movie yako unayopenda.
Daaaaah sjaambulia chochote mkuu
 
Ukiwa bachelor hakikisha mwisho Wa mwezi unanunua vyakula muhimu vikae ndani.

Maana huwa vinasaidia sana, na hupunguza gharama za migahawani kila siku.
 
Kuna tofauti kati ya bachelors na masela...wengi ni masela. Mimi nishaamua sipiki kwasababu KUPIKA CHAKULA CHA MTU MMOJA NI GHARAMA KULIKO KULA KWA MAMA NTILIE.
Nikiwa nyumbani jumapili huwa nanunua wali kwenye mgahawa fulani sahani moja 3,000/-. Huwa nabeba wanajaza kiasi kwamba nakula mchana na jioni.
Sasa nikisema nipike hapo ninunue mboga,mchele,nyanya,vitunguu itakuwa nyingi kuliko hio 3000.
Siku za kawaida natoka asubuhi narudi saa mbili nitapika saa ngapi? Nakula nilipokuwa au natengeneza sandwich. Kitu anbacho sikosi kwenye friji ni mkate.
 
Bachelor life is so simple, sina vyombo so sipiki cuz budget ya kupika ni sawa au zaidi ya kula hoteln au kwa mama k. Jpili kuna mtu nampa elf5 tu anafua na kusafisha hadi uvunguni.
 
Janga la ubachela ni pale mwana anaingiza karanga mbichi na goma geto, then demu kapigwa show hadi kucha ikabanduka alaf ile wanatoka tu si na mi nkaingia gf wangu geto bana. Kuiona tu ile kucha...msala

Ubachela ulisumbua sana
 
Daah kuna siku nimerudi geto sa kumi na moja jioni nimechoka kinoma halafu vyombo vichafu nikasema ngoja nijilaze kidogo walau kanusu saa. Kilichotokea nimeshtuka saa sita usiku mvua inanyesha sasa hapo ndio naisikia njaa yenyewe na usingizi sina.

Nilichukua sufuria la kuchemshia maji nikachemsha chai nikala na parachichi. Maana usiku kuanza kuhangaika na mavyombo jau sana. Hapo ndio nikatambua umuhimu wa mke aseeh
Hamna haja ya mke mkuu. Vuta house girl kisha fanya kama anavyofundisha Nabii Tito. TAFUNAA...
 
Hamna haja ya mke mkuu. Vuta house girl kisha fanya kama anavyofundisha Nabii Tito. TAFUNAA...
Nafanya kile ninacho elekezwa kwenye biblia talatifu na siyo kinacho elekezwa na nabii. Mkuu tafuteni member kwa ustaarabu humu hamtapata.

Huyo jamaa yenu mmemuwekea dhamana.?
 
Nafanya kile ninacho elekezwa kwenye biblia talatifu na siyo kinacho elekezwa na nabii. Mkuu tafuteni member kwa ustaarabu humu hamtapata.

Huyo jamaa yenu mmemuwekea dhamana.?

Tupo tunajipanga bro. Tutatafuta na wakili kama kesi itapelekwa mahakamani.
 
Ikifikaa Mida ya Kupika saa 12 jioni hujui wala huoni cha kupika.. sasa ngoja mida iendee saa 2 hiv njaa imekoleaa ndo akili inakuja..
Akili inakua ya kuwahi kwa mangi kununua Mkate na soda/ juisi; Na sio kupika tena.

upload_2018-1-26_17-40-20.png


Au atajisogeza sehemu ya huduma kupata Chips Yai

upload_2018-1-26_17-42-43.png
 
Back
Top Bottom