Maisha ya ubachela

Hapana sina tabia hiyo jamani maneno tu hayo. Katika uhalisia ni tofauti kabisaa

Waswahili wanasema "Lisemwalo lipo, na kama halipo basi ujue linakuja". Lakini pia waswahili wanasema, "Ukweli wa mtu upo moyoni mwa mtu." Wewe ndiye unayefahamu kama hii ndio tabia yako au la. Hivyo kama ni tabia yako, nakushauri tu achana nayo kwa kuwa haitakusaidia katika maisha yako.
 

Umeona eeeeeeeeeeh! Wanaume ni wa kuishi nao kiakili Sana Halafu kinachonichekesha kwa wanaume unaeza kuta mtu mbabeeee nanini nanini lakini mbele ya mwanamke anakua mdogooooo khakha!
 

Oukei akhsante usijali kama ninayo nimeacha kwa afya na ustawi wa maisha yangu halelluuuuyaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…