Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
TehMmh we nenda tu acha visingizio
Halafu nimekusanukia wewe unalinda minara ya simu. Unaonekana saa 5 saa 6 tu
TehMmh we nenda tu acha visingizio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaahaaaah!
BABY SUPRIIIIIIIIIIISE!,...lol!
Kumbe angejuaa unaokoa jahazi!, lakini kazi inakukuja kwenye kuchunga pochi, asije ingiza mkono kutafuta tissue akakutana na "TISSUE"..hehehe!
Haujaacha mambo yako wa kukaya Seneta.[emoji121]
WAZEE WA MIAMALA MNAKARIBISHWA KABISA HAPA!
HILI NI TANGAZO LA FREE MARKET ECONOMY.
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penye vyupi vipya tuko wengi kumbe, faraja ilioje!
Hii iliniudhi sana, halafu vyote chupi na bra. Ukutane na mwenye gubu kama hujamechisha chupi na bra yake anaona kama umetoka KoroMije leo.
Lakini sasa waala mwenyewe, chupi kijani na bra nyekundu sina wa kumhofia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ukutane na yule anataka uvae bikini tu!!! Yaani majanga. Saivi navaa zangu lichupi comfortable mwenyewe!!! Sina wasiwasi wa kushtukizwa kuvuliwa nguo [emoji23][emoji23]
Naona mnapeana moyo!Kabisaaa!
AhahahaaaaaaHahahaaahaaaah!
BABY SUPRIIIIIIIIIIISE!,...lol!
Kumbe angejuaa unaokoa jahazi!, lakini kazi inakukuja kwenye kuchunga pochi, asije ingiza mkono kutafuta tissue akakutana na "TISSUE"..hehehe!
Pia huhitaji kunyoa mara kwa mara[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Kweli kabisaaPia huhitaji kunyoa mara kwa mara[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mi nimesema tuAm still young kaka hayo ya usingle mother ni maamuzi ya mtu binafsi
Kweli kabisa yaani.ukiwa single unakua huru sana na akili yako pia inapumzika kwa kweli
Halafu kweli utakuwa uko singo wewe..Kweli kabisaa
Ila kunyoa mi napenda tu!!! Simnyoleagi mwanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23]Si yanauzwa madukani siku hizi, au supply imeisha?
Haahaahaa ina maana sahv unavaa chupi zilizotoboka kyakyakyaaaKwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Kweli kabisaa. Kama umri ushakutupa mkono inabidi uachie vijana wa dotcomYou know haya mambo ya missed call 10 yanahitaji watoto kiasi kwamba wakifikisha miaka yetu/yangu wanaset mfumo.
Sasa mimi na uzee huu bro si nitakujakumset nipo 50s na hapo yeye yupo kwenye menopause!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio zilizotoboka bwana!!!Haahaahaa ina maana sahv unavaa chupi zilizotoboka kyakyakyaaa
teh hapa siyo utan nilijuaga ni yule wangu peke yake daily umechishe chup na bla na rangi tofauti khaaaPenye vyupi vipya tuko wengi kumbe, faraja ilioje!