Maisha ya peke yako

Maisha ya peke yako

Ukitaka kuyafurahia maisha ya singo, sharti uwe na Pesa. Ni matamu na yenye furaha. Ila kama pesa huna, ni noma!
 
Ukitaka kuyafurahia maisha ya singo, sharti uwe na Pesa. Ni matamu na yenye furaha. Ila kama pesa huna, ni noma!
Kabisa kama ulikuwa wa kutegemea kuongwa,huna kazi hahah hapo ndo unachakaa unapauka kila mtu anakuuliza vipi waumwa
 
Kuwa single haimaanishi umekosa mtu ni maamuzi tu na kuelewa hasa nini unahitaji na kwa muda gani na nini kusudi la Mungu. sometimz anakuja mtu kabisa unasema nikimkataa huyu i wont have the reasons nor the guts to Blame God!
Inabidi nimwambie tu kama kuna ulinipangia mwingine send him sooner, maana huyu siye nikiona nachanganya madawa kama hivi naamua nikae pembeni kidogo

Mkuu hapo kwenye red umehitimisha vyema......anyway ngoja tusubiri kidogo sasa
 
Daby acha woga.... Ukishafanikiwa unaset mfumo wako
You know haya mambo ya missed call 10 yanahitaji watoto kiasi kwamba wakifikisha miaka yetu/yangu wanaset mfumo.

Sasa mimi na uzee huu bro si nitakujakumset nipo 50s na hapo yeye yupo kwenye menopause!
 
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Hahahah umentouch hapo kwa vyupi vipya khaaa..mapenz nyokoo sana pesa ya vyupi 25,000 ukiweka kibubu hujanunua jipsam bod za kutosha nyumba

Penye vyupi vipya tuko wengi kumbe, faraja ilioje!
Hii iliniudhi sana, halafu vyote chupi na bra. Ukutane na mwenye gubu kama hujamechisha chupi na bra yake anaona kama umetoka KoroMije leo.
Lakini sasa waala mwenyewe, chupi kijani na bra nyekundu sina wa kumhofia.
 
Au ukutane na yule anataka uvae bikini tu!!! Yaani majanga. Saivi navaa zangu lichupi comfortable mwenyewe!!! Sina wasiwasi wa kushtukizwa kuvuliwa nguo
 
Au ukutane na yule anataka uvae bikini tu!!! Yaani majanga. Saivi navaa zangu lichupi comfortable mwenyewe!!! Sina wasiwasi wa kushtukizwa kuvuliwa nguo

😀😀😀😀😀

Umenichekesha!, eti lichupi...lol!, kama ma grandma panties uongo mbaya yako very comfortable.

Yaani nakumbuka zile za kushtukizwa halafu ndo uwe hujavipangilia vizuri vya ndani, mweeeh!
Ndo unaanza bebi suburi kwanza kidogo...kumbe unaenda kurekibisha mambo
 
😀😀😀😀😀

Umenichekesha!, eti lichupi...lol!, kama ma grandma panties uongo mbaya yako very confortable.

Yaani nakumbuka zile za kushtukizwa halafu ndo uwe hujavipangilia vizuri vya ndani, mweeeh!
Ndo unaanza bebi suburi kwanza kidogo...kumbe unaenda kurekibisha mambo
yaani uko radhi uvue chupi uweke kwenye pochi ilimradi tu asiione na kujidai unamsurprise na papuchi!
 
yaani uko radhi uvue chupi uweke kwenye pochi ilimradi tu asiione na kujidai unamsurprise na papuchi!

Hahahaaahaaaah!

BABY SUPRIIIIIIIIIIISE!,...lol!

Kumbe angejuaa unaokoa jahazi!, lakini kazi inakukuja kwenye kuchunga pochi, asije ingiza mkono kutafuta tissue akakutana na "TISSUE"..hehehe!
 
Back
Top Bottom