Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Aisee moyo wako wa ajabu unasukuma vyote??Binadamu tumeumbwa kupendana iweje moyo usukume tu damu mengine umwachie nani hahahaha moyo sukuma vyote
Aisee moyo wako wa ajabu unasukuma vyote??Binadamu tumeumbwa kupendana iweje moyo usukume tu damu mengine umwachie nani hahahaha moyo sukuma vyote
Wewee weeee weeeee?Kwa hyo ulikua unataka tukupe msaada gani humu?
Teh kwanini unamshangaa huyo ambae anauliza mtoa mada asaidiweje???W
Wewee weeee weeeee?
Ya 3 nimeielewa sanaHapo kuna kadhaa..
1. Taken but not living together. Hii nayo unakuwa huru kiasi chake...
2. Single with no any one. Hii unakuwa very lonely sad na depressed. Yani giza likiingia tu unaanza mafeelings...
3. Open relationship. Hii nayo ipo kama upo single vile lakini upo makini sana.
4. Friends with benefit. No stresa.. Full kijiachia kwa roho safi no hard feelings..
Sa sindio unaipatia hapo? Daby acha uchoyoSina hiyo eksipiriensi ya kila dk 10......