The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,280
Kwa walioko nje, si rahisi kuielewa taasisi hii: Kanisa katoliki.
Watabakia kubwabwaja tu mambo wasiyoyaelewa.
Watabakia kubwabwaja tu mambo wasiyoyaelewa.
Mkuu Songea mbali, ajongee Hapo Morogoro mjini tu kuna Father Ricardo Maria Atakua mfano mzuri kwake pia.Wewe ndiyo mjinga!,ktk Kanisa Katoliki hili jambo mbona ni la Kawaida!!,Wapo watu ambao huwa wanaamua kuishi maisha ya Upweke kwaajili ya Kujitafakarisha juu ya mambo yanayomhusu Mungu,na hii huwa ni maisha yao yote.Tena wapo walio wahi kukaa mapangoni kwaajili ya kujitenga na Malimwengu ili wasiingie ktk vishawishi vya kutenda dhambi watu hao waliitwa WAEREMITE,huko walisoma neno la Mungu,Tafakari na Sala tu!,Nenda Songea kule kuna Watawa wanaitwa WAKILALA,hao ndio hukaa ndani tu pasipo kutoka nje huko hufanya SALA na Kutafakari neno la Mungu,wao si watu wa kuchangamana na malimwengu,Hata ndugu ukienda kumtembelea mnaonana naye dirishani tu!,Hawa hutoka nje mara mojamoja tu!,Wanafanya hivi kwaajili ya kujinyima Starehe na Anasa za dunia.
Hii haimezeki hii....chungu mno.
Hivi Lini atachaguliwa PAPA MWEUSI?
Toka PAPA wa Mwanzo mwaka 1555 mpaka leo ni WAZUNGU TU?
Kulikoni huko VATICAN? ?
Mkuu ishu hapo siyo Papa mweusi au Mzungu!,inategemea Maongozi ya Mwenyezi Mungu ktk kumchagua Papa.
Unataka kusema wanapomchagua PAPA siku zote Mungu anachagua Mtu mweupe tu.?
Yaani toka mwaka 1555 mpaka leo 2015?
Mbona mnamsingizia Mungu mambo ya UONGO?
wewe umehakikisha vipi ni uongo?
hapo kwenye TV ndio katuibia chenji...
TV siku hizi zipo kila mahali.. mahotelini, barabarani, kwenye magari, au yeye alikuwa anamaanisha TV ya nyumbani kwake na sio za mahali pengine...
wao viongozi hawachaguliwi tu kama kwenye siasa...
taratibu za kidini zinafuatwa..
huko wako vatican waafrika wapo sasa we unaesema wote huko ni wazungu sijui we ndio uliwatoa huko!!
papa hachaguliwi kwa kufwata interests za watu
c anajitesa bure jamani?halaf anafungisha na kubariki ndoa za mashoga halaf eti anataka akae karibu na mungu
thubutuuuu
mungu na mbinguni hapachezewi hivyo
Unataka kusema wanapomchagua PAPA siku zote Mungu anachagua Mtu mweupe tu.?
Yaani toka mwaka 1555 mpaka leo 2015?
Mbona mnamsingizia Mungu mambo ya UONGO?
Unataka kusema wanapomchagua PAPA siku zote Mungu anachagua Mtu mweupe tu.?
Yaani toka mwaka 1555 mpaka leo 2015?
Mbona mnamsingizia Mungu mambo ya UONGO?
Mkuu mimi sisemi kwa kutizama Tv km wewe.
Mimi nimekwenda NDANI YA VATICAN zaidi ya mara TATU.
Na nakuhakikishia HAKUNA MWAFRIKA HATTA MMOJA anae kaa karibu na PAPA ktk Hotuba zake! Wala ktk ziara zake.
Iwe ni NDANI ya Italy au Nje ya Nchi.
Lini wakatoliki wataamka na kuuliza KULIKONI?
Hivi Kimuuliza PAPA swali Ni Kosa la Jinai?
Mbona unajitoa ufahamu huyu mtu mweusi ukristo ulifika kwake mwaka gani? Tuanzie hapo ndio tujue toka mtu mweusi kufikiwa na ukristo wamepita papa wangapi,na kwanini umeona mweusi tu wakati dunia ina zaidi ya hapo?