Wewe kama ni mshabiki wa Timu, uko tayari kusimuliwa, yaani kupewa matokeo?
Kusimuliwa na kupewa matokeo ni vitu viwili tofauti.Kusimuliwa unaelezwa pia mechi ilivyokuwa.Sasa badala ya kumsumbua mtu akufanyie hiyo kazi kila siku kwanin usiingie goal.com faster ukacheck news kisha ukaendelea na yako.Hii ya pili ingekuwa nzuri zaidi maana haiwasumbui wengine kwa starehe zako.