Maisha ya Papa Francis

Maisha ya Papa Francis

Matendo 11:26

26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

1Petro 4:16

16 Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.

Amina!mkuu umeeleweka sana asiye elewa hapo ana lake jambo.
 
hapo kwenye TV ndio katuibia chenji...
TV siku hizi zipo kila mahali.. mahotelini, barabarani, kwenye magari, au yeye alikuwa anamaanisha TV ya nyumbani kwake na sio za mahali pengine...
 
c anajitesa bure jamani?halaf anafungisha na kubariki ndoa za mashoga halaf eti anataka akae karibu na mungu
thubutuuuu
mungu na mbinguni hapachezewi hivyo
 
c anajitesa bure jamani?halaf anafungisha na kubariki ndoa za mashoga halaf eti anataka akae karibu na mungu
thubutuuuu
mungu na mbinguni hapachezewi hivyo

Hebu acha kuwa muongo na mnafiki kiasi hicho je,unaweza kutoa Ushahidi wa Ndoa za Kishoga alizozibariki?, au ndiyo Unataka kutimiza unabii wa Kristu kuwa Wanafunzi wake watazushiwa kila neno baya Kwaajili ya jina lake?,Jiangalie sana unapotumia jina la Mungu Usilitumie ktk Kumzushia mtumishi wake jambo ambalo si kweli na hauna uhakika nalo,Mambo mengine ni chuki tu za kiimani na wala hautafikishwa mbinguni kwa chuki hizo.
 
c anajitesa bure jamani?halaf anafungisha na kubariki ndoa za mashoga halaf eti anataka akae karibu na mungu
thubutuuuu
mungu na mbinguni hapachezewi hivyo

Wewe usipojiangalia shauri yako!,Inaonyesha unatumika na Ibilisi japo unalitaja jina la Mungu,Maana unaongea vitu usivyokuwa na uhakika navyo na watu waongo km wewe ni Mali ya Shetani.Sasa endelea kumtumikia Ibilisi upate mtaji wako.
 
hapo kwenye TV ndio katuibia chenji...
TV siku hizi zipo kila mahali.. mahotelini, barabarani, kwenye magari, au yeye alikuwa anamaanisha TV ya nyumbani kwake na sio za mahali pengine...

Sasa na wewe uwe unajiongeza Ee booo!,sasa yeye atakwenda Hotelini kufanya nini?,atapandaje magari ya abiria?,Na barabarani kufanya nini,kwani yeye mzururaji?,Mambo mengine tunashindwa kuyaelewa kwasababu tunadhani kila mtu ana ugonjwa wa Kufata Malimwengu km sisi kumbe watu wengine ni commited kwenye Spiriual matters.
 
Mkuu mbona umepaniki sana?Unataka kusema Fransis pamoja na upapa wake sio mwanadamu?

Ni 100% flesh and blood like you na ana hulka zake...hiyo PR ya Vatican imeamua kulitangaza ili kumpa "image" kua ana uweza wa kimungu kivile...either ni kweli au si kweli,alikua ana haja gani ya kuweka hadharani?Ili iweje hasa?PR tu

Sijaona cha ajabu hapo,haimfanyi awe superior being ...kuna wanaofanya ten times fold of that ila huwezi wasikia wanapolitiki kivilee

Hakuna aliye paniki hapa!,inaonyesha ni kwa namna gani haujui maana na mantiki ya kusema mtu amepaniki,Ni kweli Baba Mtakatifu ni binadamu km sisi na ana madhaifu km sisi hakuna aliyesema kwamba yeye ni malaika,lkn tunachoshindani hapa ni juu ya namna anavyoishi na si juu ya Utakatifu tafadhari naomba unielewe hapo!,Halafu km kinachofanywa na Papa ni kitu cha kawaida sasa mbona unatokwa povu hivyo si ungeliona normal tu? Hao unaosema kuwa wanafanya zaidi yake najua wapo ndiyo maana wametulia lkn Watu km wewe hamuwezi kufanyahivyo ndiyo maana mnabwabwaja maneno mengi,km kwako ni kawaida si utulie kwani ukitulia utapungukiwa nini?.
 
mkuu ngoja nikuibie siri ila usimwambie mtu nakuomba ujue hawa masista wasiotoka ispokua kwa shughuli maalum nishawahi kuwaona wametoka ilikua pasaka moja saa tano tano hivi usiku wakaenda hoteli moja kaunta private kabsa ghorofani ikawa kila sista amekaa chemba ndogo na padri kulikuepo na jozi saba za hawa watu au ndo shughuli maalum zenyewe izo? usiniombe ushahidi wa picha,, sitokujibu

Sas hizo ni porojo za kitoto sana!,sasa ulipowaona nini kikaendelea?,Unapoongea na watu wazima jitahidi kuongea mambo yenye mashiko,hadithi hizi za Akina Juma na Roza tulishaanza kuzisikia enzi zile Makamasi tunayatoa kwa mkono halafu yote yanaelekezwa upande mmoja.Kajipange.
 
Bado hujajibu nilichouliza hapo juu, nimesema wapi mmetoa neno ukristo? Wewe unaniambia ''wakristo'', sijui ''mkristo''! ndicho nilichouliza hicho?

Hivi wewe ulisoma kiswahili vizuri?,Km unakubali kwamba kuna Mkristo,Wakristo,Kristo;Kutashindwaje kuwa na Ukristo?,Maswali mengine ni km kuuliza Rangi ya mkaa ni ipi.
 
Amejitenga na dunia lakni hawezi kuombea hata mgonjwa kama alivyo fanya Yesu

Nani kakudanganya!,karagabao,Yesu ni Mungu wakati Papa ni mwanadamu lazima uwe makini hapo unapokuwa unacomment mambo,Elewa kuwa hata mitume wenyewe walioishi na kula na Yesu hawakufanya kila muujiza alioufanya Yesu,sasa itakuwa kwa Papa?,Baba Mtakatifu anafanya hivyo kwaajili ya kujitafakarisha zaidi mambo matakatifu,mbona mnachanganyikiwa hivyo wakati ni zoezi zuri la kiroho.
 
Sas hizo ni porojo za kitoto sana!,sasa ulipowaona nini kikaendelea?,Unapoongea na watu wazima jitahidi kuongea mambo yenye mashiko,hadithi hizi za Akina Juma na Roza tulishaanza kuzisikia enzi zile Makamasi tunayatoa kwa mkono halafu yote yanaelekezwa upande mmoja.Kajipange.

kilichoendelea si walienda kucheza ya baba-na-mama jamani au???
alaf pia sio poa page nzima umechangia wewe tu utashindwa ku focus
 
kilichoendelea si walienda kucheza ya baba-na-mama jamani au???
alaf pia sio poa page nzima umechangia wewe tu utashindwa ku focus

No research no right to speak.Toa ushahidi,halafu kuhusu kuchangia si kuna Uhuru wa kutoa maoni mkuu?,km nimekiuka kifungu fulani cha sheria hapo sawa,lkn km sijakiuka basi ni haki yangu wacha tu nijimwage.
 
Wewe usipojiangalia shauri yako!,Inaonyesha unatumika na Ibilisi japo unalitaja jina la Mungu,Maana unaongea vitu usivyokuwa na uhakika navyo na watu waongo km wewe ni Mali ya Shetani.Sasa endelea kumtumikia Ibilisi upate mtaji wako.

Mkuu umeongea vyema. Ila nipo kinyume nawa. Utanijibu pindi uki google ndege ya papa. Ina vyote hivyo na niyakisasa. Hivyo hapa tunadanganyana tu, sawa na kumwomba mama shamba wakati baba kapeqa urisi na babu. JE?? Mama ana mamlaka nalo. Tafakari ndo ujibu. Mi nimetupa jiwe gizani tusubiri watakaoumia.
 
Sasa na wewe uwe unajiongeza Ee booo!,sasa yeye atakwenda Hotelini kufanya nini?,atapandaje magari ya abiria?,Na barabarani kufanya nini,kwani yeye mzururaji?,Mambo mengine tunashindwa kuyaelewa kwasababu tunadhani kila mtu ana ugonjwa wa Kufata Malimwengu km sisi kumbe watu wengine ni commited kwenye Spiriual matters.

inawezekana ye sio mzurulaji huwa tunamwona sana hata kwenye vyombo vya habari akiwa nchi mbalimbali anazungukazunguka... Tv sio lazima iwe kwenye gari la abiria, hata magari ya kawaida yanazo..huwezi kuniambia kuwa hata za barabarani huwa hazioni,
 
Back
Top Bottom