The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Wajinga watakataa
Wapumbavu wataamini
Wajinga watakataa
Acha dharau!,dharau haifai nani anaidharau au kubeza Imani yako?,basi tuheshimiane,heshima ni kitu bora sana,hata km Kitu fulani au Imani fulani hauiamini basi waache wanaoamini waamini wala usianze dharau na kejeli,tukisema tuanze kudharauliana hakika hatutafika mbali.
mkuu CHAULA RICH
Kwa karne ya sasa ya utandawazi hakuna hao watu tena......
key word "WALIOWAHI"...... sasa hivi hawapo tena watu wanamna hii....
Hizi ni story tu! haiwezekani mtu maisha yote usitoke nje! ..... kuna kitu kinaitwa VITAMIN D ....
kumbe wanatoka!

Angekuwa ni TB JOSHUA
Kasema hivyo utapeli, uongo, usanii ungeusikia sana.
Wewe ndiyo mjinga!,ktk Kanisa Katoliki hili jambo mbona ni la Kawaida!!,Wapo watu ambao huwa wanaamua kuishi maisha ya Upweke kwaajili ya Kujitafakarisha juu ya mambo yanayomhusu Mungu,na hii huwa ni maisha yao yote.Tena wapo walio wahi kukaa mapangoni kwaajili ya kujitenga na Malimwengu ili wasiingie ktk vishawishi vya kutenda dhambi watu hao waliitwa WAEREMITE,huko walisoma neno la Mungu,Tafakari na Sala tu!,Nenda Songea kule kuna Watawa wanaitwa WAKILALA,hao ndio hukaa ndani tu pasipo kutoka nje huko hufanya SALA na Kutafakari neno la Mungu,wao si watu wa kuchangamana na malimwengu,Hata ndugu ukienda kumtembelea mnaonana naye dirishani tu!,Hawa hutoka nje mara mojamoja tu!,Wanafanya hivi kwaajili ya kujinyima Starehe na Anasa za dunia.
Acha kupotosha umma wewe, neno ukristo wewe umelitoa wapi, ebu tueleze hapa, au mnafuata mkumbo tu.Ngoja niwashauri Waafrica wenzangu. Kuna watu wanadhani Ukristo ni dini ya Wazungu hivyo Wafrica tuna dini yetu, si kweli. Ukristo ni dini ya dunia.
Kwanini nasema ni duni ya dunia?.
Ni dini ya dunia kwa sababu chanzo chake si mzungu, chanzo cha Ukristo ni Mashariki ya kati, dini ilianzia pale na baadae ikahubiriwa kwenda kwenye mataifa mbalimbali. Hivyo hata hao Wazungu wamepokea dini kama tulivyoipokea Waafrica, yaani kwa kuhubiriwa. Tofauti kati yetu na wao ni kwamba wao wameipokea mapema kabla yetu. Hivyo chanzo ni Mashariki ya kati, Mashariki ya kati si Wazungu.
Kwa Wakristo.
Ukristo maana yake ni Ufuasi wa mafundisho ya Yesu. Kuna watu wanajichanganya kwa kusema Yesu ni Mzungu. Mimi nasema Yesu ni neutral, Yesu hana Kabila, nasema hana Kabila kwa sababu yeye hana Baba, yeye ana mzazi mmoja tu aliemzaa katika hali ambayo mpaka leo wanasayansi hawawezi kuielezea, hivyo hana kabila. Yesu alikuwa wa kipekee, mpaka sasa bado kuna debate maana muonekano wake haukuwa wa kawaida.
cha kusikitisha pesa inayowatunza inatokana na watu wanaofanya kazi kwenye dunia ambayo hawaitaki. Sielewi logic.
Acha kupotosha umma wewe, neno ukristo wewe umelitoa wapi, ebu tueleze hapa, au mnafuata mkumbo tu.
Wewe unashangaa Yesu/Nabii Isah kuwa na mzazi mmoja? mbona hushangai Nabii Adam ambaye alikuwa hana baba wa mama.
Papa Francis vilevile anafuatilia habari za klabu yake maarufu huko Argentina kupitia kwa wahudumu wake ambao humsimulia yanayojiri.
Ni papa wa majini au nchi kavu
Sasa kama anaweza kufuatilia habari za mpira kwa kusimuliwa maana yake kuna watu watakuwa japo wapo Italia lakini wana kazi ya kufuatilia soka ya Argentina ili wamsimulie Papa, sasa kama ana hizo stimu za kufuatilia kinachoendelea kwenye soka kwanini badala ya kuwasumbua hao watu si angeswitch tu on mara moja na kuangalia mwenyewe?nafikiri tu kwa sauti.