Maisha ya Papa Francis

Maisha ya Papa Francis

Sasa television na internet vya kazi gani, wakati matukio na upuuzi wote, jesuits ndo wanaratibu?. Ukizingatia kuwa naye pia ni jesuit
 
Mkuu umetoa point za nguvu hata mmoja atakaye kujibu mara ngapi tumeona Waroma wakiwatukana akina Kakobe wandhani sisi hatuumii.Majizi yote kwenye nchi hii yanatoka Rc si viongozi wa serikali wala waumini wao wote hovyo

Uwezo wako ktk kuchanganua mambo ni mdogo sana!,Mungu akusamehe sana.
 
mapadre wanajua sana maandiko tatizo hawataki kusema ukweli wa neno la Mungu,, wao wanajali matumbo yao na kuheshimu wanadamu badala ya Mungu,hapo tu ndio wameanguka.
papa mwenyewe anajua kabisa kuwa yupo kinyume na Mungu katika mambo mengi ila sasa haoni pa kuanzia ili ajinasue, shetani naye ndio anazidi kuwafumba macho mwisho wa siku anasurrender kuwa wakala wa shetani.

Una hangover wewe!,mbona unaongea vitu usivyovijua? bora utulie.
 
Ni kweli mapadre wamejitahidi kwenye elimu japo ni vipofu na weupe kabisa kwenye mambo ya kiroho zaidi ya mapokeo samahani sisemi kwa ubaya kwaani hata mimi nilikuwa hukohuko

Hivi wewe Farisayo mnafiki umejuaje kuwa Mapadre wetu hawajui mambo ya kiroho?,Wewe ni malaika?,kazi ipo cjui km tutafika.Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke.
 
Uwezo wako ktk kuchanganua mambo ni mdogo sana!,Mungu akusamehe sana.

Yawezekana ni kweli uwezo wangu wakuchanganua mambo ni mdogo lakn si ungeweka point zako hapa ili tuone IQ yako ilivyo pana.Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu ili upute heshima najua utakuja na matusi kama kawada yako
 
Hivi wewe Farisayo mnafiki umejuaje kuwa Mapadre wetu hawajui mambo ya kiroho?,Wewe ni malaika?,kazi ipo cjui km tutafika.Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke.

Hapa tu umeonyesha uwezo wako wakufikiri ulivyo
 
Mtaje Askofu yeyote anayeongelea mambo ya Wapentekoste? Neno Protestant nani alilianzisha kama siyo wao waprotestant? Wakatoliki wao na mambo yao ambayo ninyi kila siku mnawananga kuwa waaangalia sanamu? una chuki binafsi na kanisa katoliki! Lowasa anayesemwa fisadi ni mkatoliki? Hao akina mzee wa upako wakitaka kuwaona wateja wao si mpaka ulipe kama vile unavyoingia kwa daktari specialist wa magonjwa ya watoto? Tunayasikia huko haya!

kama sisi tunavyosikia mapadre wanavyojihususha na mapenzi ya jinsia moja! Au hizo shutuma za mapadre ni za uongo ila shutuma za viongozi wa kipentecoste ndo za ukweli???????? (mind u-pope John Paul 11 aliwahi kuziongelea na kuomba msamaha kwa niaba ya kanisa).

Kuhusu viongozi wa kikatoliki kusiliba upentecoste mbona sana tu! huko makanisani kwenye mahubiri yao mbona kuna wakati huchomekea! mimi kwa masikio yangu nilishawahi kusikia, tena sio mara moja! wakiwa wanahubiri hupenda kuchomekea wakati mwngn.
 
Hapa tu umeonyesha uwezo wako wakufikiri ulivyo

Kwanza una bahati kubwa ya kujibizana na mimi,Ujisifu kwa hilo mimi sio saizi yako!unajua ninapoteza muda kwaajili yako?,Haya basi nitakusikiliza kesho maana leo unavyoongea ni km mtoto anajifunza kuongea,
 
Haa haa hatareee....
 
Back
Top Bottom