Kweli wewe hauyaelewi maandiko kabisaa! ,Na km unayaelewa halafi unasema Ushuzi km huu basi jua Wewe si mtu wa kwanza kulikashifu Kanisa ;Tena nakwambia wewe utakuwa unatumikishwa na Nguvu za Kuzimu kukashifu Watumishi wa Mungu,lkn wewe ni takataka tu mbele ya Mungu hivyo hautafanikiwa ktk mpango wako,na Yesu Mwenyewe alilijua hilo rejea Mathayo 16:13-19,Luka 22:31-32;Mkuu usiishie hapo soma pia Mathayo 5:11-12,10:22;1Petro 4:14;2:20-21.Ndiyo maana Kanisa Katoliki halibabaiki wala kubabaishwa na maneno yenu mnayobwabwaja maana wewe si Wa kwanza walikuwepo Makaisari walilitesa Kanisa vilivyo pamoja na Watumishi wake,Walikuwepo Wazushi waliotumia kinyume baadhi ya vifungu vya Biblia ili kuhalalisha UASI wao km ambavyo wewe umefanya;Yaani ninyi ni watu wa Ajabu sana Hivi Papa kupendwa na watu na Kuheshimiwa na viongozi wakubwa wa Dunia imekuwa nongwa??,Kwa hiyo angechukiwa na asingeliheshimiwa na viongozi wakuu Mataifa makubwa ndo mngesema huyo sawasawa siyo?,Halafu inaonyesha hauna uelewa kabisa juu Vitabu vya Unabii km cha Nabii Daniel,Hata Kitabu cha Ufunuo huwa kinawachanganya wengi km wewe,huishia kusema hapa anayezungumziwa ni Kanisa katoliki na Papa jambolinalodhihirisha Uelewa finyu mlio nao kuhusu Maandiko ya KIAPOLIKALIPTIKO ,Na mtazidi kuchanganyikiwa sana,Mwombeni sana Roho Mtakatifu awaongoze ktk kufanya tafakari ya Maandiko Matakatifu.