Maisha ya Papa Francis

Maisha ya Papa Francis

Kuingia ndani ya Vatican sio kigezo cha kwamba unalielewe Kanisa Katoliki hata km ungezaliwa na kuishi hapo usingelielewa labda km ungekuwa Mkatoliki hai,Hivi mkuu umesahau ule usemi wa kiswahili unaosema'Kuishi karibu na Mahakama sio kujua sheria?".Kufika kwako Vatican kusitumike ktk kupotosha watu.

mkuu mbona unazoza sana??
 
No research no right to speak.Toa ushahidi,halafu kuhusu kuchangia si kuna Uhuru wa kutoa maoni mkuu?,km nimekiuka kifungu fulani cha sheria hapo sawa,lkn km sijakiuka basi ni haki yangu wacha tu nijimwage.

mbona una kisebengo sana we tunutu? after all sijui ata kwanini nakujib kwasababu hata ulichonijib sikua nimekwambia wewe in the first place,, post yng nlikua specifically nmeidirect kwa mtu mwingine kabisa asa unavokua na kihelehele hivi unaonekana how-come bwana
 
Nikikujibu tena utanenepa sana,haya hongera kwa kujiunga JF na kupata fursa ya kuchangia.
 
Mbona unajitoa ufahamu huyu mtu mweusi ukristo ulifika kwake mwaka gani? Tuanzie hapo ndio tujue toka mtu mweusi kufikiwa na ukristo wamepita papa wangapi,na kwanini umeona mweusi tu wakati dunia ina zaidi ya hapo?

Ukristo ulifika mapema zaid kuliko A.kusini kama hujui fuatilia nchi za Ethiopai
 
Ukristo ulifika mapema zaid kuliko A.kusini kama hujui fuatilia nchi za Ethiopai

Sidhani kama ndio jibu nililokua nataka.

Nimekuuliza hivi ukristo ulifika mwaka gani?
Sasa unaposema miaka mingi sidhani kama kuna mwaka unaitwa hivyo.

Pili nimekuuliza kwani unasahau kama pia dunia hii ina watu wengine tofauti na hao waajentina Poland etc.Nipe majibu yakina nikuswalike la mwisho ukalale
 
Pole sana ndg yangu tulikuwa huko uliko wewe tunayajua yote sasa tuko huru sio mapokeo tena kama zamani

Shauri yako!,nenda kawadanganye hao hao wasioelewa!,hivi unaweza ukalijua kanisa katoliki kiundani?,wewe una elimu gani hivi?,Halafu anayekudanganya kwamba Ndani ya Kanisa Katoliki Watu hawapo huru ni nani?,Wewe huwezi kushindana na RC,hata siku moja, Walikuwepo akina Martin Luther waanzilishi wa Uprotestant wenye elimu kubwa tena Profesa wa Theology walilipinga Kanisa lkn leo wako wapi?,Kanisa bado linadumu linasonga mbele na linazidi kuenea Duniani kote,Asante Mungu kwa kunifanya Mkatoliki naona Furaha na Amani tele ndani ya Kanisa Katoliki,Naona uwepo waMungu ktk kanisa hili,Wewe si kitu ndugu unapoteza Nguvu na Muda wako bure kulisema vibaya Kanisa,Kristo mwenyewe alishamwahidi Petro,kuwa Watu km ninyi mnaotumika na Ibilisi kwa mgongo wa Uprotestanti hamtashinda kabisa,rejea Mathayo 16:13-19.
 
Mwaka jana Obama, Putin, Malkia Elizabeti na Cameron wote walikwenda kukutana na Papa Francis Vatican wakipishana kwa vipindi vifupi. Nilijiuliza hawa wote viongozi wa mataifa makubwa duniani yasiyo ya kikatoliki walifata nini huko? Nakubaliana nawe, ule mwamba Petro uliosimikwa na Yesu hakuna nguvu za kuuvunja hapa duniani.
 
Si ndiyo hapo mkuu!,watu wa humu JF waongo kwelikweli,hapo wameunda unda tu picha basi ili mradi tu ionekane kinachosemwa siyo kweli,dah! ubinadamu kazi.
Mkuu picha haijaundwa. Huyo pichani ni Pope Benedict, sijui kwanini wameileta picha yake wakati anayejadiliwa ni mwingine. Yeye alikuwa na utaratibu wa kuangalia TV kila siku jioni muda fulani. Ninayo documentary ya maisha yake kabla na baada ya kuchaguliwa kuwa papa. Kwa upande mwingine, Papa Francis ni tofauti kabisa na wenzake waliomtangulia.

Nakushauri, upatapo muda uwe unasoma Biblia hasa kitabu cha ufunuo. Tuko kwenye nyakati za mwisho mkuu wangu, Kristo shurti apingwe kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom