Maisha ya nyumbani raha

Dena Amsi wapi wewe kiroho kinakudunda kila ukitaja jina langu hapo
hebu niambie ulifichwa na nani mpaka upotee hivyo mpaka nikampata my wife mwingine aise Mamndenyi hebu mwambie huyu Dena Amsi aache wasi wasi na kiroho papo
Mzee wa majungu nakuona Erickb52 unayapalilia tuu
 
Last edited by a moderator:

Wewe hujatulia na nilishakwambia kitambooo sana sikutaki sikuhitaji
 
Ngoja upewe mimba na mkata majani ndio utaona raha yake
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ahhh nishajua mbaya wangu ni nani aise anayenifitini kwenye kila kona nikienda ni Erickb52
Haya bnakuachia nafasi uendelee kufaidi mi najitoa kwenye mashindano bana
 
Last edited by a moderator:

ulikuwa hujui?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…